Ofisa Habari na Mawasiliano Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika (African Court on human and people’s Rights) Kamel Grar (kushoto) akifafanua jambo leo jijini Dar es salaam kwa waandishi wa habari wakati wa maandalizi ya mkutano wa 18 wa Mahakama hiyo unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 28 Septemba 2010 hadi tarehe 1 Oktoba 2010 nchini Tanzania. Kulia ni Naibu Msajili wa Mahakama hiyo Dkt . Robert Eno.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...