WABUNGE Mohamed Dewji (shoto) akiwa na Mbunge mwezake Lazaro Nyalandu (kulia) waliomaliza muda wao wakishangilia kwa pamoja na mai waifu wa Mh. Nyalandu, Faraja Kotta, baada kupata ushindi mkubwa, Dewji aliibuka kwa asimilia 95 huku Nyalandu akibuka kwa asilimia 89.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Bado niko kizani kwa kweli kufuatia hizo kura za maoni. Kwa hiyo mtakuwa wagombea wenza au?

    Wapi mamaa Dewji?

    ReplyDelete
  2. Hao ndio wapiganaji tunaowataka
    Tanzania. Nyalandu na Mo
    Viva

    ReplyDelete
  3. Lugha fasaha!

    Ngudu Michuzi, hongera kwa juhudi za kuhabarisha wadau wako.

    Kwa upande mwingine napenda kukukosoa kwa mara nyingine kuhusu utumiaji wa lugha fasaha mfn Kiswahili,Kiingereza nk.
    Mfn: HEPI BETHIDEI!
    MY WIFE WAKE!

    Pls ni vizuri kutumia neno halisi kuliko kuandika kiswanglish, kwani watumiaji wengine wa mataifa mengine wanajifunza kuswahili , na hivo jitahidi kurekebisha hilo.

    kazi njema

    ReplyDelete
  4. wewe unaona lugha uielewi nvyema ukaanzisha blog yako ukaweka kiswahili fasaha sisi wenyewe tuachie na michuzi wetu

    ReplyDelete
  5. Mimi ni General Maktoum, nakubaliana kabisa na ushauri wa ndugu yetu hapo juu kuhusu matumisi fasaha ya lugha. Kwa mn Mikonooooz, fulanaaaz, my wife wangu, hii sio sahihi Ndugu Michuzi. Tumia lugha kama ianvyostahili.

    Sasa hiyo picha mbona wote watatu wameafanana.......?

    ReplyDelete
  6. mimi napenda kuwapa pongezi hao rafiki zangu kwa ushindi. ni vijana wenzetu viva Laz and Mo. Mbona kwenye picha wote wamefanana....?

    ReplyDelete
  7. Napenda kuwajulisha kuwa Mo ni Mhindi sio Mwarabu kama wadau wengi wanavyofikiri. Niliona wadau nyuma wanafikiri hivyo.

    ReplyDelete
  8. Nawe nawee? Eti unapenda kutujulisha kuwa Mo ni mhindi na sio mwarabu SO WHAT?!! Sisi bwana hatuangalii rangi ya mtu ili mradi ni mtanzania, peleka ubaguzi wako wa rangu huko huko unakobaguliwa sie tunaangalia utendaji na uzalendo wa mtu basi!

    ReplyDelete
  9. HIZO NDIO KURA ZA UHAKIKA...SIO WENGINE WANABAHATISHA!AFU MMEPENDEZA BY ZE WEI

    ReplyDelete
  10. GENEREAL MAKTOUMAugust 03, 2010

    Hata mimi namshangaa sana huyu ndugu yetu anayeleta ubaguzi, hivi Tanzania kweli tuna wahindi...? Mo ni mtanzania kama ilivyo sis wengine sijui huo uhindi huyu mwenzetu anautoa wapi.

    Ndugu Michuzi fikisha salamu zangu tele kwa hawa rafiki zangu kwa kushinda kura za maoni. Mwelekeo ni kuwa bado watazidi kuwa wabunge wa majimbo yao na kuendelea kuwatumikia wapiga kura wao.

    Hongera sana sana Laz na Mo.

    ReplyDelete
  11. akizaliwa mtoto wa kihindi hapa mie simo

    ReplyDelete
  12. HUU NDO UJINGA WETU AKIFANYA KITU MNZASEMA SEMA YULE MHINDI AU MWAARABU,,,,UJINGA MTUPU KWANI YY SIO MTANZANIA MBONA MTU MWEUSI HATUSEMI BLACK TANZANIA TUNASEMA MTANZANIA AAHH WATU WENGINE BANA,,,

    ReplyDelete
  13. samahani kaka michuzi kuna wadau hapo juu walikua wanajaribu kurekebisha lugha, nawaomba plse... plse msirudie tena kumwambia michuzi abidiri lugha hii sio blog ya wazungu au waarabu ni ja jamii ya kitanzania na hio lugha ni ya kisanii najua hamjasomea uandishi wa habari nendeni hata global publisha mtaona lugha inayo tumika mle, lugha ya kisanii au ushairi haifati maadili kamili au lugha fasaha ila ni kuwa intertain watu as long as msomaji anaelewa mwandishi alikua anataka kuelezea nini so kama nyie wadau hapo juu either take it or msije tena kwenye blogu ya jamii kutufundisha lugha huku
    thanks
    thats all

    ReplyDelete
  14. Ankal habari, pole na kazi. hongera pia na kazi nzuri unayoifanya.
    Kuhusu swala la lugha ilo, mtu anapojifunza lugha, magazeti na media humsaidia kujua both formal na informal phrases za lugha zinavyotumika. muimu ni aulize asipoelewa.
    MO na Nyalandu mpo juu...u too Faraja, Mh. Nyalandu umeniibia malaika wangu huyu.

    ReplyDelete
  15. Lazaro na Faraja tunawapenda sana. Big fat mwaaaah!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...