MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MTERA YANATARAJIWA KUTANGAZWA RASMI SAA NNE ASUBUHI HII. HADI SASA HAKUNA MSHINDI ALIYETANGAZWA RASMI KATI YA WAGOMBEA MH. SAMWEL MALECELA NA BW. LIVINGSTONE LUSINDE. HABARI NDIYO HIYO...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. wizi mtupu !!!!!

    ReplyDelete
  2. Yule ni fomer Prime minister hawezi kuangushwa kirahisi huku tayari maafisa wa usalama wa taifa na maofisa polisi wamekuja kuangalia hili jimbo Maleccela walitaka kumuonea tu mzee wa watu yeye ndiyo mshindi na tunampenda

    ReplyDelete
  3. Hii Tanzania bila mizwengwe haiwezekaniki hapa ni ubabaishaji mtupu hivi zengwe linatengenezwa, we subiri baadaye utasikia kibao kimegeuka aliyekuwa chini anaongoza kwa kura nyingi sana.

    Hii hali haiotaweza kuvumilika itafika mahali watu watachoka na kufanya mambo ya ajabu hebu angalieni na kujifunza yanayoendelea huko Somalia au Rwanda kumbuka wanaoishi huko ni watu kama sisi ila walishachokana na sasa kila mtu anafanya vile anavyoona iatamfaa yeye na familia yake.

    Mdau Japhet wa Sinza Madukani

    ReplyDelete
  4. Secret AdmirerAugust 03, 2010

    Aisee jana nimekutana na Mwamvita Makamba pale Jack's Oysterbay. The dame is hot. She is more eye candy in person than in pictures we see here at Michuzi. Wala hana miguu ya kichama-chama kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha.

    ReplyDelete
  5. Wataalamu wa wizi wa kura wakikutana, hali inakuwa kama hii. Tusubili fainali October!!

    ReplyDelete
  6. Fedheha imemkuta mzee mzima!!!
    Akubali yaishe, ampiganie kijana aingie mjengoni,
    Nadhani anasikitika kwamba atakikosa kijiwe na wala si kuwatumikia wananchi

    ReplyDelete
  7. Kaka Michuzi,mtanange kuhusu jimbo la mtera status ikoje?maana naisubiri kwa hamu.

    ReplyDelete
  8. NITAKE RADHI, HIVI SASA NI SAA SITA NA DAKIKA KUMI

    ReplyDelete
  9. Yale yaleeeeeeee, mh sina cha kusema

    ReplyDelete
  10. Wabongo bwana ... eti Somalia sijui Rwanda ... sasa hayo mambo yanaingiaje hapa kwenye kura za CCM? Kwani matokeo yalishatangazwa? Si mmeambiwa matokeo yangetangazwa saa 4 asubuhi? Ndiyo taratibu ... haiwezekani kila mtu akajitangazia matokeo jinsi anavyotaka. ... na ndiyo maana Tanzania haiwezi kuwa Somalia au Rwanda unayoitaka wewe ... vinginevyo nenda kajinyonge ... ulitakalo wewe usilazimishe ... fuata taratibu ... ebooooo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...