Mdau Kisamo akikukaribisha kwenye nyumba ya kompyuta na vikorokoro kibao vya mtandao toka Marekani iitwaqyo KOMPU WORLD. Nyumba hii iko barabara ya Morogoro road jijini Dar, karibu na mtaa wa pili ukitokea Mtaa wa Samora Avenue ukielekea Magomeni upande wa kulia.
Mdau Kisamo akihudumia baadhi ya wateja ambao
wamenzza kumiminika katika nyumba hiyo ya kompyuta. Hizi ni Think Pad Laptop za
Lenovo, kampuni inayotoa kompyuta za kisasa zaidi Marekani kwa sasa na imeshinda tuzo. Spea na accessories ni za kumwaga hapo katika nyumba hii ya kompyuta. Na kila kitu kina gerentii ya mwaka mmoja...
BOFYA HAPA
Ankal akioneshwa mtambo wa kisasa wa CCCTV ambao una vikorombwezo kibao ikiwa ni pamoja na kamera inayoona gizani, memory ya mwaka mzima na ya rangi pamoja na kukupa uwezo kuiangalia kwa intaneti ukiwa hauko nyumbani ama ofisini ulikoifunga tena na sauti hukamata
Mdau Kisamo anakuonesha aina kadhaa ya HDD USD drive zenye GB aina zote
Hapo mdau Kisamo anakwambia hii ni desktop toleo
la mwaka huu la kutoka IBM ambayo haina msgindani kwa ubora na uthabiti
Mdau akiwa keshapata mteja anamtayarishia mzigo aondoke nao.
Kwa mawasiliano mdau Kisamo anapatikana kwa simu namba
+255 22 212 3388 ya mezani
ama
+255 767 266 902
Na katika kukuhakikishia kwamba ameingia Bongo kuwaletea teknolojia ya leo, Mdau Kisamo anatoa ofa kwa wateja watano wa kwanza kuanzia leo Alhamisi ambapo ukifanya manunuzi:


1. BUY A THINKPAD LAPTOP &
GET A FREE 320GB SECURE HDD USB DRIVE!!!!!!

WAHII, ONLY APPLIES FOR THE FIRST TEN CUSTOMERS BEGINNING 8/19/2010!!!!
2. BUY A IDEA PAD Y550 & GET A FREE
WD MY PASSPORT ESSENTIAL USB DRIVE!!!!\

UNATAKIWA UWAHI...
ONLY APPLIES FOR THE FIRST FIVE CUSTOMERS
BEGINNING 8/19/2010!!!



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. haya ankal kwa promo wewe.
    correction

    levono-LENOVO.
    usd-USB.

    ReplyDelete
  2. Mume Wangu, Mikanjuni TangaAugust 19, 2010

    Ankal, hapo lazima umekamua mshiko wa nguvu. Jamaa umemfagilia vya kutosha, akishindwa kuuza shauri yake, wewe utakuwa umeshachukua chako.
    Naupenda ujasiamali wako maana chembe chembe za rushwa zinaonekana kwa shida sana.

    ReplyDelete
  3. Huyu dogo hataji bei !! au anataka kusema hiyo ofa maana yake ni anakupa bure?

    ReplyDelete
  4. mama wa NJAugust 19, 2010

    hongera mdogo wangu,kumbe ulikuwa na vitu vya nguvu,mbona hukutuelezea pale kwenye mkutano wa DICOTA-MN?.Mungu akusaidie upate wateja wengi

    ReplyDelete
  5. vuvuzela ya kutosha ashindwe mwenyewe!

    ReplyDelete
  6. Sawa ila duka lipo mtaa gani haijaeleweka.Haiwezekani mtu ana duka halafu hajui liko mtaa gani.Naomba Ankal urekebishe kwa kuwa naitaji desktop ya IBM.Nicholas

    ReplyDelete
  7. Kaka,
    Nadhani Lenovo ni badala ya IBM, ambazo hazitengenezwi tena kuingia sokoni. Pia huku nje,Lenovo ndio bei chee sana kuliko karibu computer aina zote...

    Pengine fanya ka-utafiti kidogo hewani (online) kujua news za hivyo vitu kaka...

    Kazi njema

    ReplyDelete
  8. jamani LENOVO ni chinese brand na inatengenezwa na wachina wenyewe,ila wanafanya kazi pamoja na IBM just in coorporation.

    ReplyDelete
  9. Put that computer engineering degree to use... congrats on this new venture.

    ReplyDelete
  10. Good News for Tanzanians. Asante ndugu Kisamo kwa kutuletea huduma hii. Nimefurahi kuona mnatoa na garantee kwa vifaa vyenu kwa mwaka mzima. Huu ni mfano wa kuigwa kwa wauza vifaa vya elektroniki wote nchini kwetu Tanzania.

    Mdau wa Westongate

    ReplyDelete
  11. Mollel - Washington D.C.August 19, 2010

    Wandugu,
    LENOVO, ndio, financiers wake ni wa China, lakini bidhaa hii is manufactured specifically for U.S. market, and conforms to all standards that other U.S. co. meet. Ukichukulia kwamba Lenovo waliinunua IBM PC/Laptop division, Engineers ni wale wale, managers ni wale wale, head quarters ya hii division ipo NC, USA.
    After all, cooperations zote za P.C., Dell, HP, Gateway aka. EMC aka. Acer, production yao wote ipo China kwa sababu ya low cost of labor.
    The differentiating factor ya PCs ni design (which incorporates style, ergonomics, weight, heat dissipation etc), components (harddrive, video card, motherboard) na features. Hapo ndipo mchuano ulipo. Na Lenovo, hawapo nyumba, wapo mstari wa mbele! Ahsante kwa kusoma.
    Hongera mdau, songa mbele, wasikukatishe tamaa.

    ReplyDelete
  12. All the best KOMPU WORLD team for this service.

    ReplyDelete
  13. tunaomba uweke bei ya hizo laptop manake tangazo limeeleza vitu vingine vyote except for prices!!

    ReplyDelete
  14. Hongera Kaka Kisamo! All the best - good to see the gameplan in action. Frank Minja

    ReplyDelete
  15. hii ni kitu mzuri sana. vijana kama ninyi ndio mtaleta maendeleo nchini kwenu. watanzania na waafrika popote mlipo tumieni ujuzi wenu kuendeleza nchi zenu.

    ReplyDelete
  16. Ziwe za ki_china au ki-Amerika, yatuhusu nini sisi?

    Tengenezeni zenu na achananeni na uwakala!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...