Kikosi cha Yanga ughaibuni
Kikosi cha Simba ughaibuni
Afisa Ubalozi Mh. Suleiman Saleh akikagua kikosi cha Jangwani
Afisa Ubalozi Mh. Suleiman Saleh akikagua kikosi cha Lunyasi

Ile mechi ya watani wa Jadi Simba na Yanga kufanyika sept 5 uwanja ni Kalmia lakini inasemekana Simba hawataki mechi ichezwe uwanja huo kutokana na wao kudai uwanja huo ni nuksi kwao.

Timu hio ya Msimbazi ishakula kisago mara mbili ndani ya uwanja huo,inawezekana wasilete timu uwanjani.Habari za ndani kutoka kwenye chama hilo zinasema uwanja huo umekua nuksi kwao na bora mechi ichezewe Meadowbrook park.

Kwa upande wa Yanga wao wanasema kufunga Simba ni sawa na kusukuma mlevi,sisi kaka tupo tayari hata wakisema tufunge barabara tutawafunga hata iweje.

Mechi hii ni ya marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyochezwa April 4 mwaka huu ambapo Simba ilibanjuliwa 5-2 dhidi ya watani Yanga mechi iliyokua na upinzani wa hali ya juu.

Mechi hii ni sehemu ya sherehe za Labor Day ambazo hufanyika kila mwaka DMV,kuselebuk kunaanzia Ijumaa.

RATIBA KAMILI YA LABOR, DMV
--------------------------------------------------------------
**********THE EAST AFRICANS IN WASHINGTON DC (DMV)*************

%%%%%%Wakishirikiana na All African Promoters%%%%%%%%

########Presenting-A whole new Level/Class of Entertainment######

============FRIDAY SEP 3 from 9:30pm-6:00am============

THE BATTLE OF THE SEXES~Bring Your SWAGGER
+THE CLASH OF THE BEST DJs - Kenyan DJs Vs TZ DJs+UG(Entertainment)
@ MIRAGE HALL
1401 University Blvd E
Hyattsville, MD 20783
FOOD AVAILABLE ALL NITE

============SATURDAY SEP 4 from 1pm-7pm==============

soccer tournament,Stars,Bongo united,Kenya(NJ),Kenya(DC),MT.Zion plus Jamhuri(GA)
@ 4704 Kalmia Rd,
Washington,DC

THERE AFTER from 9:00pm-6:00am

*THE SIGNATURE * THE FIRST OF A KIND ALL AFRICAN PARTY
@ BRAND NEW RENDEZVOUS HALL,
10705 Southhard Drive,
Belttsville,MD,20725
(2 Blocks from Swahili Village)

=============SUNDAY SEP 5 from 3:00pm-8:00pm===========

BBQ/MINGLING/FUN FUN FUN plus SIMBA VS YANGA,& BASKETBALL-KE vs TZ

@ Meadowbrook park,
7901 Meadowbrook Lane
Chevy Chase,MD

THERE AFTER from 9:00pm-5:00am

*THE ALL AFRICAN AFTERPARTY(FAREWELL BASH)
@ THE BRAND NEW MILLENIUM CLUB
1511 University Blvd E
Hyattsville, MD 20783

==========MONDAY SEP 6 from 1:00 pm-6:00pm=============

DC CAPITAL TOUR

MORE INFOS CALL - 301 661 6207 / 240 595 9874 / 240 605 1870


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...