OFISI zA UBALOZI WETU DUBAI NDIKO ILIKOFANYIKIA KALAMU HIYO YA FTAR
DUA IKISOMWA NA SHEIKH MUHIDIN BIN ABDULRAHAMAN
WAKATI WA MAHANJUMATI ULIPOWADIA
YOSO NAO WALIKUWEPO
SHEIKH SAID BIN ALI YAQUT AKITOA WAADH KABLA YA KUFUTURU
WADAU WAKISIKILIZA MAWAIDHA
KINAMAMA NAO WAKIENDELEA NA MAHUNJUMATI
ILIKUWA FURAHA NA TABASAM KWA WOTE 

Kwa idadi ya ndugu zetu wa kitanzania waishio dubai inashangaza kuona kumbi zote mbili ni watu wachache sana waliohudhuria. Jee ni sababu gani hasa? au ndio yale yale yasemwayo? watanzania wengi nje ya nchi hawana umoja kama walivyo watu wa nchi nyenginezo?
ReplyDeleteshosti wangu mange mbona simuoni? muwekee bwana ankali acha kubana, usibane hii message
ReplyDeleteLUGHA ZA WATU MATATIZO. LUGHA YETU PIA SHIDA. HIYO NI 'KALAMU' AU KARAMU? HIVI KABLA HUJAWEKA HUMU JAMVINI MICHUZI HUWEZI KUHARIRI? AAGRRRRRRRRRRRR.
ReplyDelete