Ni ujio wa mtumishi wa Mungu Dr. Morris Cerullo.
Je, wewe ni mmoja wa waliokuwa School of Ministry yaani SOM? Je wewe ni partner au rafiki wa huduma ya Dr. Cerullo? Au umekuwa ukibarikiwa na huduma yake?
Popote mlipo, Dr. Morris Cerullo anawaalika kukutana naye katika Studios za ATN Mbezi Beach (DSM), siku ya Ijumaa, tarehe 13/08/2010, saa tisa alasiri.
Katika siku hiyo pia, aliyekuwa Mkurugenzi wa huduma ya Cerullo, Mtume Vernon Fernandes ataadhimisha miaka 28 ya utumishi wake tangu alipoitwa.
Usikose kufika siku hiyo maana Dr. Morris Cerullo ataachilia upako maalum na kuachilia Neno la Unabii.
JIANDIKISHE SASA KWA SIMU ZIFUATAZO;
0754 262571 NA 0755 743372

Huyu Cerullo si alipigwa marufuku na serikali nasikia kwenye miaka ya tisini? Alikuwa anafanyia mikutano yake pale Jangwani.
ReplyDeletenaona umemfananisha Dr. morris Cerullo. hajawahi pigwa marufuku popote duniani, ameshahubiri nchi zaidi ya 40 duniani na zaidi ya city 1000 duniani kote.
ReplyDeletektk wachungaji waliobarikia na yy ni kati yao. anahubiri neno la Mungu duniani kote kwa 65 yrs now na saa ana miaka 79 ya umri.
alimpokea yesu akiwa na miaka 14 na nusu ya umri from that time anamtumikia Mungu kwa unyenuekevu mkubwa sana.
baada ya kusoma story ya huyu baba nimeamini kuwa Mungu akikuchagua no matter what kwani alipoteza wazazi wake wote 2 aliwa na 2yrs of age na mtu aliyemuhubiria kuhusu neno la Mungu ni mfanyakazi wa kituo cha watoto yatima alipokuwa anaishi.
nawashauri watu wakapate baraka za Mungu kupitia kwake kwani is anointed man of God. mimi nimebarikiwa sana na semina ya siku 4 iliyokuwa hapa london, england. yaani imeisha jana tu.
being in ministry for 65 yrs omg, is blessing. i real admire that man natamani kuona ht mwanangu akimtumikia Mungu kwa moyo wako wote kama Dr. CERULLO.
MUNGU AWABARIKI DR. MORRIS AND THERESA CERULLO NA MINISTRY NZIMA.
BLESS U PAPA
Ni kweli aliamuriwa kuondoka miaka hiyo ya nyuma hata mwenyewe amekiri hilo. Tanzania tulikuwa nyuma katika neno. Ashukuriwe Mungu kwa sasa tuna neema ya kukaribisha wahubiri toka nje.
ReplyDeleteHuyu mzee bado anakamua tu.Inaelekea 401k ni ya kufa mtu.Mdau wa pili unasema watu wapate baraka za Mungu kupitia kwake.Mara nyingi huwa naona wachungaji tu ndo wanapata hizo baraka,hali washirika wanasota kwa njaa.Yet Mungu hana upendeleo.
ReplyDeleteKama unatatizo lolote kuhusu huyu mchungaji wewe goole jinalake utapata jibu, usikubali kusikiliza mtu kama hujui yupo namna gani. Uhamuwe wewe mwenyewe kama unakwenda kumsikiliza au unahamuwa kupiga magoti wewe mwenyewe chumbani kwak na kumshukuru Mungu kwa upendo wake na kumuomba akusamehe kwa makosa yote.
ReplyDelete