Salam Kaka
Mwezi Juni mwaka huu tuzo maarufu ya kimataifa iitwayo Ashden Awards iilitolewa kwa wahusika kadhaa duniani zikiwepo nchi za Afrika Mashariki.
Tuzo hiyo hutolewa na shirika maalum lililoundwa na duka maarufu la matajiri wa Uingereza yaani Sainsbury Kutoka katika Ashden Trust Charity ambapo mlezi wake akiwa ni Prince Charles. Lengo lake ni kusaidia kurekebisha na kuboresha mazingira duniani .
Tuzo ya mwaka huu ilitolewa kwa watafiti na wabunifu waliotengeneza zana za kutengeneza umeme kutokana na nguvu asilia za jua yaaani Solar Energy.
Ingawa wabunifu walitoka mataifa mbalimbali ya Marekani, Asia na Afrika washindi pia walihusisha Kenya, Uganda na Tanzania.
Umeme Jua, Bio gas( Gas Itokayo kwenye kinyesi cha ng'ombe) ni zana ambayo itawasaidia watu maskini hasa wanaotoka nchi kama yetu Bongo vijijini.
Baada Ya Mafanikio makubwa la movie ya £ovely Gamble Urban Pulse wakishirikiana na Msanii/ Mhariri Freddy Macha Wamepewa mzigo mwingine wa kutengeneza documentary ambayo itakuwa hewani tarehe 2 sept 2010 na kurushwa katika tv za hapa ukerewe na mabara mengine ya ulaya.
Hivyo basi utawala wa Urban Pulse Unawaletea trailer ya documentary hiyo na baada ya uzinduzi tutawapatia kipindi chote
Asanteni sana
Urban Pulse Creative

Speaking of lovely gamble hivi ile movie inahusu nn?sijui ni mimi tu kwani sikuweza kuelewa mwanzo wala mwisho wa ile movie na bado mnasema kuna part 2 guyz what the heck was that?
ReplyDeletewakifanya movie bongo wakachemsha tutasema well fani bado changa sasa na huku mamtoni na kelele zote hizo mlizopiga na mnazopiga na hamna kitu?hakuna mpangilio wa scene,story connection ziro yani mnatupeleka peleka tu....halafu story realism nayo ziro hiv was it necessary kina kanumba kupanda limo kwenda kazini?mkiandika hizo story hebu kaeni chini kwanza muangalie na kujadili na si kukurupuka kutengeneza upuuzi na am nat hating here ukweli ndio huo.
I hope michuzi hutabania hii kwani its high time people learn hw to do things properly na si blah blah nyingi.
Good job. Keep it up!!
ReplyDeletetufike sehemu tutofautishe movie na shooting, nadhani lovely gamble is more of a shooting and not a movie, anyway, endeleeni kujaribu siku moja mtafikia hatua nzuri, keep moving........
ReplyDeletekweli jamani hivi ile filamu inahusu nini?
ReplyDeleteMi namuunga mkono anonymous hapo juu. si kwa chuki bali Lovely Gamble kwa kweli Urban Pulse inabidi mjifunze kwa makosa. Story ya Movie haikuwa inaeleweka. Ni vizuri unapotaka kufanya kitu km hiki kutafuta ushauri kutoka kwa wataalam, hata kama itawacost lkn unafanya kitu bora. Pia quality sio nzuri sana, hii movie sijui km itaweza kuonyeshwa kwenye TV UK au US k'sababu haijameet international quality. kusema hayo ningependa tu mchukue hizi critics positively halafu mtafanikiwa kwani mwanzo mgumu jamani.
ReplyDeleteUbora bado sana...ni kawaida sana...intro nafikiri inapaswa kubadilishwa...ile sauti ya kama movie ya ki-nigeria haijatulia.Nafikiri unaweza kuchukua muda wako kuangalia some popular and successful documentaries kwenye YouTube...unaweza kujifunza zaidi...itasaidia sana katika editing na presentation ya kazi yako!
ReplyDeleteOtherwise safi kwa kuweka hapa ili watu waone na waweze kutoa michango yao...hii ni namna nzuri ya kujifunza zaidi.Hongera!