Wadau wa Channel 10 wakiwa katika futari ya vodacom hoteli ya Movenpick
Mtangazaji wa Times FM Diddah akisaka taswirazzzzz kwenye iftar hio
Wadau toka sehemu mbalimbali
Mwana libeneke Shamim Zeze (wa pili shoto) akiwa na wadau wa Vodacom
Toka shoto ni mdau Somoe Ng'itu wa Nipashe, Gea Habibu Chavda wa Clouds FM na Zena Chande wa Habari Leo
Bosi wa Vodacom Tanzania Bw. Mare akiwa na mmoja wa wageni wake mahususi
Ustaadh Mwakifulefule (shoto) akiwa na Maalim Temba (kati) na Ankal nanihii

Ustaadh Mwakifulefule (shoto) akiwa na maalim Temba (kati) na Alhaj Nanihii
Meza kuu
JKT Taarab wakitumbuiza kwa nyimbo za Abbas Mzee za bendi ya Egyptian kama vile 'Yatima', 'Ndoa' na 'Jirani'
Ustaadh Mwakifulefule akiwa na mmmoja wa wageni waalikwa muhimu
Ankal na wapiganaji wenzie wakitabaroukh...
Wadau wakijichana kama hawana akili nzuri
Meza kuu ya pili














Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza wadau wa chanel ten na wadau wa Dar CECILLIA MDOE wa chanel ten and Miss wa zamani yuko wapi?

    Nampenda sana Mie mdau wa mkoani jamani naomba kufahamishwa

    ReplyDelete
  2. Toto Tundu, New Albany; OHIOAugust 21, 2010

    Imekuwaje nyie VODA hamkumualika JK?; Wenzenu kila tukio lazima aalikwe JK ndio wanaona limefanikiwa. Kila la kheri WADAU.

    ReplyDelete
  3. Kocha Mchezeshaji, LiverpoolAugust 21, 2010

    Futari bila ya UJI WA PILIPILI na MUHOGO WA NAZI KWA SAMAKI inakuwa haijakamilika, hapo naona sodasoda kwa wingi tu na asilimia ndogo ya waliofunga.

    ReplyDelete
  4. Ustaadh Massoud, Columbus, OHIOAugust 21, 2010

    Jamani mlipata angalau nafasi ya kuswali MAGHRIB kabla hamjakula( sio kufuturu)?? Ankal, usiibanie hii ni muhimu kwa WADAU.

    ReplyDelete
  5. ankali hapo umepatia raha ya futari ukae mkekani,futari na mezani wapi kwa wapi.

    ReplyDelete
  6. Candid ScopeAugust 21, 2010

    Duh Dr. Michuzi, mbona gitaa na zeze kipindi cha swaumu? Labda kusogesha utamu wa iftar.
    Imependeza kuona baadhi ya wadau hapa kuonyesha ile nidhamu ya misahafu yetu, kwani wakati nje ya ramadhani zile barakashiar na ijab huwa hazipigwi pasi na kumbe leo nawaona ndo washiriki wenzangu wa misahau.

    Nasubiri tuonane mwezi wa Rabien awal kwani mara ya mwisho tulikutana ule mwezi wa dhulkaadat.
    Inshallah.

    ReplyDelete
  7. First pic, the girl in green is hot! Whats her name?

    ReplyDelete
  8. Mdau unayeulizia first picture the girl in green naona umebadilishe hiyo screen yako au kma huvai miwai bora kamuone Dr haraka. na kam unamiwani basi nenda ikarekebishwe....Mbona hamna mtu aliyevaa green hapo juu kwenye picha ya kwanza?

    ReplyDelete
  9. Ustaadh Mwakifulefule hahahahahhahahahahahhahahahahahaha

    ReplyDelete
  10. we mdau unayesema humwoni aliyevaa green basi wewe ndo unahitaji miwani.....huyo wa katikati picha ya kwanza we unaona kavaa red eeh! au computer yako ni black and white?

    ReplyDelete
  11. Naomba kuuliza swali. Mimi Mwislamu lakini sijafunga sasa miaka 30. Je, kama hufungi, nini adhabu yake?

    Shukurani.

    Kobe wa Washington

    ReplyDelete
  12. Sijapata ona muislamu akafutari kwa kuburudishwa na muziki , hapa na hapa khofu na hao wafungaji kwa kweli. Na si katika mafundisho ya Mtume wetu Muhammad(Swallahllahu alay wasalaam_). Hii ni dini mpya ya wana Vodacom na washabiki wake waliohudhuria na si Uislam.

    ReplyDelete
  13. Hivi futari lazima ule kwa mikono hata kama mikono michafu?

    ReplyDelete
  14. that gal ni wa channel10 huwa yupo na salma msangi kwenye kipindi cha saa mbili cha mziki,,,na amevaa green kwa wale wenye matatizo ya macho....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...