Katibu wa Bunge, Dr. Thomas Kashililah akipokea zawadi toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti na Fedha ya Bunge la Korea Kusini, Mhe. Joyoung Lee. Wabunge wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Korea Kusini wako nchini kujifunza namna Bunge linavyopitisha Bajeti na kusimamia matumizi ya Serikali ambapo pia wamewasilisha ombi rasmi la kuanzisha kwa mahusiano
ya kibunge. Kwa upande wake, Dr. Kashililah alishukuru hatua ya Bunge la Korea Kusini kuomba uhusiano na Bunge la Tanzania na kuahidi kuliwasilisha kwa wabunge wapya mnamo mwezi Novemba.Wa kwanza kulia ni Nd. Emmanuel Mpanda, Msaidizi wa Katibu wa Bunge na Nd. Siegfried Kuwite, Mkurugenzi wa Idara ya Mipandgo Bungeni.

Picha na Saidi Yakubu wa Bunge.
mmewaonyesha na kuwafagilia kuhusu zile kompyuta zao?
ReplyDeleteSwali kwa wote: Hizi zawadi zinazotolewa kwa viongozi wa government, ni for personal use au ni kwa ajili ya ofisi? Kwa sababu hawa viongozi wanaweza kwenda nazo nyumbani baada ya kazi, wakati inatakiwa zawadi zibakie kazini. Kitu kama hiki kilitokea hapa U.S. wakati Bill Clinton alipomaliza muda wake, ilidaiwa kuwa aliondoka na zawadi alizopewa akiwa rais, na wananchi walitegemea zawadi zibakie White House, kwa sababu kiongozi wa government akipokea zawadi, ni ya umma/government. Tubadilishane mawazo please.
ReplyDelete