Home
Unlabelled
warembo wamwaga vyandarua hospitali ya marangu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
vyandarua sio solution ya kutatua malaria.
ReplyDeletetujaribu kutoa madimbwi ya maji machafu yanayozingira nyumba zetu.wakuu mnapoteza hela nyingi sana kwenye vyandarua badala ya kujenga misingi bora ya kupitisha maji machafu hili tusiwe madimbwi hovyo hovyo mitaani na kusababisha mbu kuzaliana.na pia bora kupulizia dawa kwenye madimbwi kuhua mayai ya mbu kuliko kuwaacha wazaliane huku tukitegemea vyandarua.
watu na watoto wanashinda nje mda mwingi usiku je wanakuwa na vyandarua?
Jamani, Mimi nimesha fika Marangu maranyingi saana nikipeleka Watalii mlimani. sehemu za Marangu, Mamba, Mwika hakuna mbu. Please wenyeji wa sehemu hizi correct me if I am wrong. Kwa nini msizipeleke sehemu sinazo hitajika? Kama vile Same au Moshi mjini?
ReplyDeleteNafahamu hayo maeneo kuna mbu na ndio maana vile vile kuna malaria. Usifikiri hakuna malaria huko. Huwezi kupata malaria bila mbu. Hata hivyo, rate si kubwa sana kama lower moshi
ReplyDelete