By Jakaya Mrisho kikwete
During the African Union summit this week, leaders met at a watershed moment in the quest to eliminate malaria across the continent.
Successes in malaria control have been substantial. Mosquito-net coverage in 20 African countries is at least five times higher today than in 2000, leading to significantly fewer cases of disease and death.
Today, at least 10 countries in Africa are reporting significant decreases in malaria cases and declines in malaria deaths of up to 80%. But challenges remain.
Successes in malaria control have been substantial. Mosquito-net coverage in 20 African countries is at least five times higher today than in 2000, leading to significantly fewer cases of disease and death.
Today, at least 10 countries in Africa are reporting significant decreases in malaria cases and declines in malaria deaths of up to 80%. But challenges remain.
For more & Source:


Tanzania must learn from the United States and UK how malaria was eradicated in those countries.
ReplyDeleteSasa tupunze bajeti ya safari za kila siku za kwenda kupiga mapicha na kuvaa masuti ya bei mbaya, tuwekeze katika kujifunza kutoka kwa wenzetu na kutumua hiyo elimu kupunguza matatizo yeto.
Kwa kifupi, safari ziwe na value.
(US Blogger)
US Blogger, wakati mwengine huwa unajicontradict wewe mwenyewe, eti tujifunze kutoka kwa wenzetu at the same time unakandia safari za Mheshimiwa. Sasa atajifunza akiwa kajifungia ndani? Wewe kama unakandya safari basi kandya tu maana kwanza hata hufahamu na kuelewa umuhimu wa hizo safari, bakia tu kwenye hilo kundi la kuponda kuliko kuwa ndumilakuwili kutaka kuwepo huku na huku.
ReplyDeleteMimi binafsi nasifu safari zake kwani hakuna nchi iliyo kisiwa isiyotaka kushirikiana na wengine na dunia ya leo ushindani ni mkubwa sana katika nyanja zote, nyie mpondao endeleeni kuishi zama za ujima!
Heeh huyo naye amekazania safari za mueshimiwa sana,mbona haina uhusiano,?
ReplyDeleteImekula kwako iyo,anza upywa
wewe
ReplyDelete(US Blogger)
Namashaka sana na elimu yako !Unajitia umemaliza sijuhi oxford una PHD hila unaongeaga utumbo sana mwenye PHD wanaandika articles humu kama wakina anko kamau !!
wewe kidato cha tatu unajiita eti PHD.
Nilisha kuambia mimi nimesha kusoma kinyota wewe ni mpiga box wenye masifa eti ulisha wahi kusema una fist class PHD lakini serekali himeshindwa kukupa kazi, mimi na degree na serekali himenipa kazi!! hahhaa teh teh teh
Mdau paris
aka msoma nyota
Ni kweli tujifunze kutoka kwa wenzetu LAKINI...Kwani waliofanikiwa walisafiri kwenda wapi kujifunza? Isitoshe, hii ni dunia ya utandawazi, unaweza kujifunza pale ulipo kupitia mtandao/Internet bila kusafiri na kufuja fedha za walipa kodi. Mwisho, hii biashara ya vyandarua tunapewa % ngapi? Kwanini tusiwekeze kwenye kuua mazalia ya mbu badala ya kufagilia vyandarua?
ReplyDeleteMdau wa Knyama, DSM
wewe us blogger huna mpango wowote,ungekuwa kweli umesoma na umekaa nje ungeelewa safari za muheshimiwa umuhimu wake,obama amekaa madarakani miaka miwili tu lakini amepiga trip kuliko bush alokaa miaka 8,kila kiongozi ana malengo yake,obama ameikuta marekani imeachwa na bush ikiwa imejijengea maadui kila upande,ndo maana amesafiri 'kujenga uhusiano,pia kuwakubali nchi zilizokuwa ni maadui wa marekani kama kina cuba,na kuzitoa kiburi nchi ziliokuwa zikiona hata zikfanya utumbo marekani itasuport nchi kama israel.sasa na muheshimiwa anajua tz ujamaa ndo ulotuuwa kiuchumi,na mzee mkapa ameshabinafsisha madini yote,sasa mheshimiwa anajaribu kutafuta wawekezaji wataoshirikiana na watanzania kujenga nchi na kutoa ajira.sasa akikaa dar na mawaziri 62 wanafanya nini.
ReplyDeleteNadhani watu wengi wanongea lakini hakuna mahesabu yanyoonyesha ni kitu gani inaendelea, kwa ujumla kuna watu wengi ambao wanjaribu kutusaidia kuondowa hiyo maleria na kwamba wanisifu sana Tanzania kwa msaada wanopata wakija hapo kfanya kazi kwani viongozi huwa wanwasaidia kwa kila hali kuhakikisha kazi yao inafanyika bila shida yoyote. Wansema ukienda West Afrika viongozi wanadai chochote kutoka kwao na kazi inakuwa ngumu zaidi. Kingine ni kwamba sasa kama maleria ikiondoka Afrika si unjuwa kuna makampuni makubwa ya madawa ambayo yantegemea kuuza dawa zao Africa, hata kama hazifanyi kazi, zinababuwa watu uso wao hawajli wanjuwa wansoko na watfanya chochote kile kuhakikisha soko lao haliguswi. Sasa watanzania tufikirie bado tunasafari ndefu sana kbala hatujajuwa cha kufanya. Mungu tu atusaidie familia zetu zisiuguwe sana. Nadhani kwa wale wanohusiki tunaomba mtupatie mahesabu yenu yansemaje kuhusu huu ugonjwa.
ReplyDelete