

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tunaitaji ya nyekundu pia msilete u-yanga wenu mtavaa wenyewe!!!!
ReplyDeleteWanafanana!
ReplyDeleteHuyu dada lazima asonge mbele,,mimi binafisi ni mrundi wa hapa Rumonge Burundi, lakini ninavyopenda kazi yake ni balaa.
ReplyDeleteKitu kingine haliziki na umaarufu kama mastaa wengine wakipata umaarufu kidogo wanaanza kubweteka kabisa matokeo yake wanabaki tu niwakupanga nyumba na kuhamahama.Harafu Jide ni mtu mwenye huruma ya kusaidia pia mwenye upendo kwa kila kiumbe,,sijui kama hayo nayaona peke yangu ingawa niko pembeni kidogo na Dar, cha msingi nakupa hongera dada na lazima nihudhulie siku hiyo.
Gardner and Jaydee RANGI YA TSHIRT TU ! congrats.....!
ReplyDeleteSee u tomorrow at Savvanah....
SENETOR..
Ka Ka ka ka kapitaiiiin...!!!!
ReplyDeleteanachezea timu gani huyo tutajie kwani ladj jaydee ni nani
ReplyDeleteMy Hazbendi!!!!
ReplyDeleteNdg Michuzi, tunajua ni blog yako lkn habari ni kwaajili ya wadau wote, khy maoni yanayojenga ni haki yatu.
Jitahidi kuelimisha jamii vzr kwa maneno fasaha,
Mfn umeandika My Hazbendi! heri ungeandika fulani na Husband wake, ama Fulani na Wife wake.
KWAHIYO MIMI NIFANYEJE SASA
ReplyDeleteNice couple!
ReplyDeleteGod bless u million times.
NI MARA CHACHE SANA UTAMUONA HUYU DADA AKIWA HAPPY.....SHE IS ALWAYS UNHAPPY....I DONT KNOW WHY???
ReplyDeleteYupo serious na kazi yake, na kama ni mhali pa kucheka anacheka, sidhani kama yupo unhappy, hiyo ni hulka ya kuzaliwa.
ReplyDeleteTunampa hongera kwa kazi nzuri
we mdau hapo juu umekazana sana kumwambia ankal abadilishe lugha aandike unavyotaka wewe, sasa sikia ufungue blogu yako uandike kiswahili fasaha ili hao watu wanaotaka kujifunza kiswaz wajifunzie huko, hujavutwa kwa kamba kuja humu usituaribie kijiwe chetu tafwazali, kaa kushoto na ukome mbona bongo yote wanaongea kiswanglish hadi mr presidaa? nenda kaombe kazi baraza la kiswahili usituletee ufala humu ndani hujui hiyo lugha ndo inanogesha blogu ya jamiii?? narudia tena fungua blogu yako uandike unavyotaka usikontroo watu hapa alaaa! hii sio blogu ya kina ras makunja umesikia eeeh??!! peleka ukong'ota wako hukoo kwenye mbayuwayu wa mtaaani kwenu!!!
ReplyDeleteMwanaume ndo ana smile...mmh sina la kusema, michuzi usipoweka hii shauri yako, mradi umesoma wewe inatosha
ReplyDeleteNI MARA CHACHE SANA UTAMUONA HUYU DADA AKIWA HAPPY.....SHE IS ALWAYS UNHAPPY....I DONT KNOW WHY???
ReplyDeleteWed Aug 04, 01:59:00 PM
Umbea suna..mdau KILO hapo umenena..HILO NALO NENOOOOOOOOOOOOOO
WE HUJUI KAMA WATU WAKIISHI PAMOJA WANAFANANA KWANI HAO NI KINA NANI NAOMBA JIBU HUYU NI MKE WA GADNA WA CLOUDS ANAYETANGAZA JAHAZI NAOMBA JIBU WADAU MBONA KAMA MKUBWA KWAKE
ReplyDeleteWe kilo unafikiri mtu kuwa happy nikucheka cheka tu mbona binadamu mko hivyo. Kila mtu na personality yake bwana usilazimishe watu kufanya unavyotaka. Hata wanaocheka cheka moyoni kwao huwezi kujua. Happiness ni personal issue huwezi kutambua mtu yuko happy kwakumuangalia usoni hayo ni mambo ya moyoni kabisa usidanganyike.
ReplyDeleteKilo you're correeeeeeeeeeect....100%
ReplyDeleteMdau ashkamatit
DAH KUNA MDAU HAPA YUKO MAKINI SANA...MIMI NILIKUWA NASEMA YAKUWA WANADADA HANA FURAHA KUNA KITU KINAMLAA KICHWA....
ReplyDeleteNingependa kuwapongeza kwa jitihada zao ni mfano mzuri kwa wasanii wengine.Vile vile ningependa kupendekeza mwandishi wa nalala hii itakuwa vizuri ukitumia lugha moja inayoeleweka.Ukiamua kutumia kiingereza tumia kiingereza.Na kama unatumia kiswahili tumia kiswahili.Kwa sababu unachanganya kiswahili na kiingereza ambavyo aileti maana yoyote.P/se try to use one language.
ReplyDeletehttp://www.facebook.com/pages/edit/?id=144971678852174#!/pages/I-am-a-FAN-of-YOUNG-AFRICANS-SC/144971678852174
ReplyDeleteYANGA AFRIKA
Mambo ya Yanga
ReplyDeleteWewe anony wa Thu Aug 05, 01:23:00 AM! Rejea maoni ya anoni wa Wed Aug 04, 03:28:00 PM.
ReplyDeleteKiswahili fasaha, kiswahili fasaha! Kwenden zenu huko mkajiunge na Baraza la Kiswahili.
Annony wa Tarehe Thu Aug 05, 01:23:00 AM, Unakaza nini na unaandika nini? mbona mwenyewe umechanganya lugha, kama huna comment kaa pembeni. hebu angalia hiyo sentesi yako..
ReplyDelete".........................sababu unachanganya kiswahili na kiingereza ambavyo aileti maana yoyote.P/se try to use one language."
aisee
ReplyDeletewe anon unayetaka lugha iwe moja nenda kamkontroo mkeo na wanao, in short la familia na sio ankal umezaliwa umemkuta jua lileeee literemke mamaaa wewe bado wa jana, hata wewe umechanganya kiswanglish, mnamaind mambo madogo madogo sijui makubwa inakuwaje tena nyie ni wanume flani hivi chokesti , ankaliiiiiii andika mai wii, my wify, dinner la asubuhi, la mchana na usiku kabisaaa ile wakonde mtima eboh!! watu gani nyie hamjui utani?????????????? fungueni za kwenu mandike ma me mi mo muuuuuu,!!!
ReplyDeleteGADNAS NA DADA MKUBWA NA MDOGO
ReplyDeleteHuyo kwa asili ni MKURYA wa MUSOMA kule so ishu za KUTABASAM-TABASAM hazipewaGI kipaumbele kule...m-mesikia nyie ma-ANONY apo juu?????
ReplyDelete