Balozi Patrick Tsere (pili kulia) akimsikiliza Meneja wa Shamba la Chai la Mulli Brothers.Mashamba hayo yalikuwa miaka ya nyuma yanamilikiwa na mashirika ya umma lakini kutokana na mashirika hayo kuyaendesha kwa hasara yakauzwa kwa The Mulli Brothers ambao ni wazawa halisi wa Malawi.
Baadhi wachuma majani ya chai kwenye shamba La Mulli brothers, yaliyopo wilaya ya Mulanje nchini Malawi
Sehemu ya shamba la Chai. Nyuma ni sehemu ya mlima wa Mulanje, nchini Malawi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hongera balozi wetu kwa kutuwakilisha vizuri...huyu ni mmoja kati ya mabalozi ninayempenda na kumheshimu ..yuko upto date kwenye social media na siyo kama mabalozi wengine ambao hata kwenye face book hawamo..safi sana balozo endelea hivo hivo...

    ReplyDelete
  2. Balozi nakutania kidogo..shambani na suti na tai!!!

    ReplyDelete
  3. Wamalawi wenyewe wanakwenda kulima na suti na tai itakuwa yeye mgeni, huko ni Malawi bwana suti na tai kwa kwenda mbele!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...