
Habari Kaka Michuzi
Kaka naomba utuwekee hili tangangazo la Mh. Balozi kuzungumza na Watanzania wa Birmingham na vitongoji vya siku ya jumamosi 02/10/2010 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 11. address ipo kwenye hiyo flyer nimekutumia.
Naomba uwasisitize Wabongo watakuwa wanakuja kuzingatia sana muda.
Asante kwa kazi yako njema kaka.
Jackson M
Katibu TA-Birmingham / Mjumbe TA-Taifa
nyie wabongo wa uk kwa vishughuli mwe!! sasa mwaanza kupelekeshana, haya uswahili wetu waanza sasa!
ReplyDeleteWhich Birmingham?
ReplyDeleteStates or UK