Balozi wa Tanzania nchni Canada Mhe. Alex Crescent Massinda akikabidhi Hati za Utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mheshimiwa Michaelle Jean. Sherehe hizo zilifanyika kwenye Ikulu ya Canada siku ya tarehe 23,mwezi huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Balozi hongera sana kwa kutuwakilisha , kutakuwa na muziki wa kukuponhgeza pale kwa Mwaipopo Bahari Beach tarehe 1/10/2010, mpiga solo Gondwe.
    Karibu sana-katibu
    Rgds
    Lawrence

    ReplyDelete
  2. She is to pretty!!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. hahaha US BLOGER she is 'to' pretty

    ReplyDelete
  4. Big UP Kwa Mheshimiwa High Commissioner.

    Now you have taken charge of representing the United Republic of Tanzania; in Canada.

    I wish you success and all the best.

    Sijajua hiyo picha kapiga nani, kwani inaonyesha kama kuna inner pockets protruding out of the lower part of the Jacket. It is not the kind of photo for His Excellency the High Commissioner during such a historic moment!

    ReplyDelete
  5. Huyo Gavana Mkuu wa Kanada ni wa kutoka Haiti!

    ReplyDelete
  6. US blogger uko juuu he he heee! mambo ya oxfordiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  7. Mdau iliyenikamata na she is 'to' pretty huyu mama bwana ni too pretty mpaka vidole vyangu vinashindwa ku type vizuri, hahaha


    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...