mambo ya taarabu yakionyeshwa na vijana wa kike katika bonanza la Grand Malt lililofanyika leo katika ufukwe wa coco beach jijini dar.
watu kibao walihudhuria bonanza la Grand Malt leo katika ufukwe wa coco beach.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
mambo ya taarabu yakionyeshwa na vijana wa kike katika bonanza la Grand Malt lililofanyika leo katika ufukwe wa coco beach jijini dar.
watu kibao walihudhuria bonanza la Grand Malt leo katika ufukwe wa coco beach. Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Samahani wadau, naomba kama kuna anayefahamu maana ya neno bonanza anifahamishe
ReplyDeleteBonanza - is a Spanish word meaning abundance of..........well being, money, crops, good life etc.
ReplyDeleteAhsante mdau wa Monday 13. Sijafahamu namna ambavyo linatumika kuhusiana na matamasha, naona kama vile hakuna uhusiano kabisa
ReplyDeleteNo problem ...Nadhani inaweza kuwa na maana hii but this is just me ninavyofikiri inaweza ikawa na maana ya the good life with grand malt unajua tena kiswahili kutafsiriwa neno kwa neno ndio hayo tunayoyapata....au ni Maisha mazuri ukiwa unakunywa big malt ...who knows...I don't know ..I am just trying to figure out wana maana gani wakisema hivyo lakini hebu tusubiri wenyewe wakiama labda watatueleza the real meaning...We live we learn
ReplyDelete