baiskeli, maarufu kama injini kiuno, ni njia moja kuu ya usafiri mjini kyela kama Globu ya Jamii ilivyoshuhudia hivi karibuni katika mji huo ulio kandni mwa ziwa nyasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kumbe hata kyela kuna wajanja. poa sana. kama ulaya ulaya vile.

    ReplyDelete
  2. nakubaliana na wewe mdau, kyela ni wajanja kwa wilaya zote za mkoa wa mbeya ( hata mbeya mjini), kuna burudani zinapatikana kyela ambazo hata jijini mbeya hazipo!

    Kwakweli injini kiuno zinatusaidia sana hapa kyela, hakuna tatizo la foreni wala bei ya mafuta kupanda, hitaji ni kujaza upepo na kuendesha....KYELA JUU, MWAKYEMBE JUU ZAIDI!

    Mdau V, Kyela

    ReplyDelete
  3. nakubaliana na wewe mdau, kyela ni wajanja kwa wilaya zote za mkoa wa mbeya ( hata mbeya mjini), kuna burudani zinapatikana kyela ambazo hata jijini mbeya hazipo!

    Kwakweli injini kiuno zinatusaidia sana hapa kyela, hakuna tatizo la foreni wala bei ya mafuta kupanda, hitaji ni kujaza upepo na kuendesha....KYELA JUU, MWAKYEMBE JUU ZAIDI!

    Mdau V, Kyela

    ReplyDelete
  4. kyela ni bomba sana, hali ya hewa iko poa, kama bongo vile ila joto si kivile, matunda yote yanapatikana, ubwabwa wa hapa mtamu sana, samaki watamu. kyela ipo juu.Ingini kiuno kama tanga!!! Nawasilisha!!!

    ReplyDelete
  5. Neno igini kiuno ni abuse na kutoelewa nini maana ya usafiri wa baiskeli, ukiwaangalia jamaa hawa hakuna mwenye kitambi kwani hawa wako fiti kwasababu ya kutumia baiskeli moja ya faida, pili hakuna foleni na kuchafua mazingira, huu ndiyo ulimwengu wa kisasa kwani hata London mayor kaanzisha scheme ya baiskeli za kukodi kwasababu ya mazingira, watanzania badirika sasa.
    Mdau uk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...