Wasanii 8 kutoka katika kundi linalopiga muziki wa Mchiriku (Mnanda) wanaondoka leo tarehe 8 Septemba kuelekea nchini Denmark. Wakiwa huko kundi hili linatarajiwa kufanya maonyesho mawili katika miji ya Copenhagen pamoja na Roskilde. Ziara hii ambayo itakuwa ni ya pili kwao barani ulaya imeratibiwa kwa pamoja na kampuni za Jahazi Media na Maisha Music Tanzania Ltd.

kwa taarifa zaidi unaweza kutembelea link zilizopo
hapo chini ya huo wasifu wao kwa kimatumbi:

From the poor suburbs of Dar es Salaam, Jagwa Music play a style of music with chakacha roots known as mchiriku. Jagwa Music guarantees to set any concert venue ablaze with explosive performances that always keep the crowds jumping and bouncing from start to finish. Their stage show is unique – a non-stop gymnastic workout choreographed with skill and sensitivity, combining theatrics, acrobatic prowess, a big amount of humour and energy. The group features
minimal instruments including a hand-held Casio keyboard, drums, whistles and a battered old stool beaten with sticks for extra percussive flavour.

"Suddenly, we are all swept up in something so frantic it’s difficult to know whether to run or get pummelled into the sand. It’s like walking into a monsoon. This is possibly the most outrageously thrilling spectacle in Africa today”. (MOJO Magazine)

Please go and check out this amazing live show at:
10th of September, 20:00 - Global (København)
11th of September, 20:00 - Gimle (Roskilde)

The concerts are part of the festival My World IMAGES 2010

Kwame Mchauru
Maisha Music
+255 777461911
info@maishamusic.com

Links:
http://www.myspace.com/jagwamusicmchiriku
http://www.youtube.com/watch?v=T0lsyoWjGco
http://www.youtube.com/watch?v=p6NLTJGOd6Y
--
www.maishamusic.com
www.myspace.com/maishamusictz
www.youtube.com/maishamusictz
www.twitter.com/maishamusictz
www.facebook.com/group.php?gid=74932459086

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Loh hii kali njooni uk.Tumechoka na miziki ya kizungu

    ReplyDelete
  2. babkubwa....unaburudisha...unachezeka...unasikilizika....hongera omar omar
    tatzo lake ni moja tu ukipigwa karibu na nyumba yenu basi hata ukienda chooni unabidi ufunge mlango kwa kufuli

    ReplyDelete
  3. Tunashukuru sana hawa ndiyo wanamusiki wa asili kazi nzuri vijana. Ni vyema muendelee hivyo hivyo msiige mila za watu wengine. Mziki mzuri sana.

    ReplyDelete
  4. Sasa Mchiriku bila vumbi utanoga kweli?
    Tunawangoja anyway:-)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...