Home
Unlabelled
JK aguruma uwoya, urambo leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kigwangala amekataliwa mbele ya JK Nzega. Hebu weka Picha Michuzi
ReplyDeleteMnamuwaza Irene Uwoya mbona juu Uwoya chini uyowa mara tena Uwoya which is which
ReplyDeleteUchaguzi wa mwaka huu unaweka historia maanake baba, mama na mtoto wana-criss cross nchi nzima kusaka kula. Hatujawahi kuona kwa Nyerere, Mwinyi na Mkapa.
ReplyDeleteMheshimiwa inabidi atoe maahadi kibao yasiyotekelezeka maanake anajiandaa kutayarisha pensheni miaka 5 inayokuja
Kaka unaharibu jina la nyumbani kwetu ni UYOWA na si UWOYA, tuombe radhi bwana, acha mas'hara
ReplyDeleteMichuzi mbona uananza kulegeza kamba? kaza kamba maoni ya wapinzani usiyape nafasi kwenye blog yako kama ulivyoanzia.
ReplyDeletePole mzee inaelekea hizi silaa mpya haukuzitegemea, mzee ongeza ahadi sasa umevuka thelathini na nne wao hawajafikisha kumi na tano; Ongeza kasi uje umalizie na ile ya kujenga barabara kuzunguruka Tanzania, hapo utakuwa umewamaliza kabisa.
ReplyDeletejaribu kuwa fair inamaana vyama vingine havifanyi Kampeni? Kila siku CCM na JK inakua vp? Inaboa Kaka.Kama ni global ya jamii usiwe na upendeleo.
ReplyDeletewe unayemzungumzia uwoya uwoya which is which hatukuelewi
ReplyDelete