


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni familia ya mzee Msekwa.Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.Fikra na sala zangu zipo nanyi.
ReplyDeleteMungu amsamehe dhambi zake na ampokee kwenye utukufu wake.
IM ASKED QUESTIONS OF OUT OF TOPICS TO YOUR BLOGGERS BUT IS NOT CONFIDENCE YOU ARE SAYING I DOES NOT CARE THE MAIN TOPIC, MY QUESTION ARE WHY ARE THE PEOPLE OF TANZANIA ARE NOT CLEANING THEIR ARE SHOES? LOOK THE PRESIDENTS KIKWETE AND MWINYI AND ALSO MR. MSEKWA THEY ARE SHOES DO NOT POLISH WELL ENOUGH AND IS LOOK DUSTING? RIP THE SON OF MSEKWA JULIUS. THANKS THAT ARE ALL TO SAY NOW BYE!
ReplyDeletePole Mzee Msekwa,Pole Mama Anna, Pole Jacob ndugu na jamaa wote. Ni Kipindi kigumu sana, lakini tunawaombe kwa mungu awape moyo wa subira. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie, astarehe kwa amani. AMINA
ReplyDeleteMdau - Beijing.
PETER NALITOLELA, TOA VUMBI ZAKO NA WEWE HAPA KUFIWA NA KUBRASHI VIATU WAPI NA WAPI. WATU WAKO KWENYE KILIO UNATAKA WAWE SMART WANAENDA KWENYE HARUSI. USITUCHAFULIE HALI Y A HEWA. RIP JULIUS MSEKWA, BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE. POLENI SANA WAFIWA
ReplyDeleteWe Peter Matolela unatoka dunia gani na unaishi dunia gani? Ulizaliwa na kukulia Tanzania au dharau ya ulikokulia nini?
ReplyDeleteHao waombolezaji wako Tanzania na hakuna siyejua vumbi linavyong'arisha viatu na katambuga achilia mbali kandambili za wamachinga.
Wanakozika makaburini kuna lami?
Ndugu Peter Matolela jaribu kuwa na upembuzi wa kiustaarabu na kusoma ishara za nyakati, mazingira na majira ili utoe comments sahihi zinazosheheni ukweli na uzito unaotakiwa. Ninyi ndo mnaoweza kuwakana wazazi wenu tokana na hali walizo nazo bila kukumbua kwamba bila wao usingekuwepo na wao ndo wamekutunza uonekane ulivyo. Kama una uchungu basi watumie brush na dawa ya kung'arishia viatu badala ya kuwaanika hadharani bila kujali msongo wa uchungu wa kuachwa na ndugu yao aliyekuwa tegemeo la familia yao.
Poleni sana wafiwa na tukumbuka kazi ya Mungu haina makosa, na ndo sote hatima yetu ni huko alikotutangulia mwenzetu.
Hakika hapa tunakumbushwa kuwa tayari kwani hatujui siku wala mwaka Bwana atakuja kutuchukua kuyaendea makazi yetu ya kudumu.
R.I.P Julius
ReplyDeleteNawapa pole wahusika wote kwa msiba wa ndugu yetu,ambao umetupata ghafla bila ya mategemeo.
Julius atakuwa moyoni mwetu daima
Mungu amlaze mahari pema.
mickey jones
mdau wa Denmark
Wewe PETER NALITOLELA hapo juu, nakushauri uka-polish kwanza english yako kabla ujaanza kuuliza kwa nini viatu having'ai kwenye msiba. Watu wako msibani hapo na sio harusini.
ReplyDelete