JK akiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara
ndugu Makongoro Nyerere wakati akiondoka Bunda kuelekea Musoma
JK akisalimiana na Madaraka Nyerere baada
ya mkutano wake wa kampeni Musoma

Wafuasi wa CCM katika mkutano wa Musoma
Mkalimani akiwatafsiria walemavu wa kusikia katika mkutano wa Musoma

Nyomi katika mkutano wa Musoma
JK akiwahutubia maelefu ya wakazi wa Musoma leo
JK akisalimiana na wakazi wa kijiji cha Kibara
huko Bunda mkoni Mara alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni leo
Umati wa kina mama wa jimbo la Musoma
wakimshangilia JK wakati akihutubia

JK akiwa katika usafiri wake wakati akiingia katika uwanja wa shule ya msingi Mukendo,tayari kwa kuwahutubia wakazi wa Musoma leo.
wana CCM wa Bunda wakiimba nyimbo mbali
mbali wakati JK alipokuwa akiwasili katika jimbo hilo leo
Wasanii wa muziki wa Bongo fleva wanaounda kundi la TMK wanaume family wakiwaburudisha wananchi wa Musoma wakati wa mkutano wa kampeni za JK jimboni humo leo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. hapo dk slaa atapita wapi? mbona hamna mwanya?

    Japo waweza kuwepo sijauona.

    ReplyDelete
  2. jamaa hendisamu hasa.

    tutamchagua na tutakunywa naye chai ikulu panapo majaaliwa.

    humpendi? kajinyonge!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Akiwa kwao huko Hai, Freeman Mbowe alilaani kampeni za JK kurindima na vikosi vya sanaa!

    Lakini halaani kampeni za Dr Slaa kupamba na "kimada" wake (Josephine), ambaye hawajaoana kisheria!

    Anyway, hakuna ubaya kwa kampeini kulindima kwa sanaa; kwani ni shuti kuwa both style na substance!

    ReplyDelete
  4. Mbona hizo picha mbili zinaonyesha watoto wadogo; sio wapigakura!

    Walikuja kusikiliza muziki!

    ReplyDelete
  5. Sheikh SULTAN (USA)September 26, 2010

    Jamaa tuache ushabiki mimi nipo tayari kumpigia kura yeyeto yule anaestahili kupigiwa lakini cha kushangaza huyu mgombea anayeitwa DR.SALAA ni MTU MZURI aliyeichachafya SIRIKALI wakati fulani nampenda SANA lakini nasita kuwa hatokuwa KIONGOZI mzuri sababu kuu ni kwanini kwa UMRI wake hana MKE? lazima atakuwa na kasoro au mkewe amefariki? haiwezekani kwa TANZANIA kwa umri wake hana MKE ina maana ktk MAISHA yake yote anadandia VIDOSHO tuu basi hata wa NDOA ya MKEKA HANA ni AIBU.

    ReplyDelete
  6. kuwa na mke sio sababu ya kutochaguliwa hao mawaziri wanawake 97% hawana waume duniani kote! wacha hapo Hivi mbona JK anaonekana kukonda hamjamuona nyie au ndio joto la uchaguzi? Naona hata mashati yanamvaa yeye sasa!

    ReplyDelete
  7. Hao vijana matumbo wazi waliojipaka rangi ni 'Mungiki'?

    ReplyDelete
  8. Ndugu Wana-CCM wenzangu. Tuzidi kuongeza ari katika kumkampenia ndugu yetu Rais JK, wabunge na madiwani wetu kila siku mpaka dakika ya mwisho kwa hali na mali. Umoja wa TZ ni muhimu sana. Tusiwaachie mwanya watu wanaoendeshwa kwa chuki. Kidumu CCM. Onesmo M. Mwana-CCM na mwana_Bunda.

    ReplyDelete
  9. Sisi wana-Mara tutaendelea kujimobilize mpaka tuhakikishe chama cha UMOJA WA WATANZANIA WOOOOOTE, YAANI CCM kinashinda nchi nzima na Rais wetu Ndugu Kikwete anashinda. Huu sio wakati wa siasa za chuki za chadema. AMAAANDLA!!!!!!! J Mwita.

    ReplyDelete
  10. Tunakuomba Muumba na Muweza uwabariki na kuwalinda Ndugu zetu Jakaya Kikwete, Makongoro na Madaraka Nyerere na wanafamilia wao na uipe Tanzania amani na umoja. Amen. Mungu ibariki Tanzania; Mungu ibariki CCM. Amen.

    ReplyDelete
  11. Umaskini ni kitu kibaya sana!!!

    ReplyDelete
  12. Aisee hiyo comment ya Dr. Slaa imetouch my nerve... manae lazima kuna walakini haiwezekani mzee na umri wake iwe ni vidosho tu, yule wa mwanzo hawakuoana ila waliishi miaka ishirini... customary wife... then huyu wa sasa kampandia jamaa duh! Be afraid...be very afraid.... tafakari chukua hatua... vote for jk....

    ReplyDelete
  13. Tarehe Sun Sep 26, 01:00:00 PM, Mtoa Maoni Anonymous:

    Tunazungumzia Tanzania, do not overstretch hoja hii na kuifanyia external application!

    Tunayo haki, kama wapigakura, kujua yote kwa uwazi maadili ya kiongozi mmoja nchini maarufu kama Rais!

    Maadili ni pamoja na hayo ya unyumba; penda usipende!uh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...