Home
Unlabelled
JOSEPH MBILINYI (MR II- SUGU) ANAOMBA TUUNGANE PAMOJA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi unatafuta ugomvi na yule muhaya. nilimuona yule ruge ni kichwa maji pale alipopigwa interview akaulizwa eti aseme kuhusu yeye, akasema amezaliwa washington ni matope je angezaliwa manzese? jamani mamtoni ilikuwa enzi za nyerere siyo siku hiziiiiiii
ReplyDeletembeba box,
READING
hongera bro kwa kuwakilisha big up
ReplyDeleteMbeba box wa Reading umenifurahisha sana - perfect comment!
ReplyDeletetuko nawe kijana chukua Mbeya kura ya wazazi wangu na ndugu zangu wote unapata. Mchango pia natuma.
ReplyDeleteMwana mbeya in US
Nimefurahishwa na SUGU kuamua kujingiza katika masuala ya kisiasa kwani ni muhimu kwa vijana kuleta mabadiliko kwani tumewaachia wazee muda mrefu na hakuna wanalo lifanya zaidi ya ufisadi mtupu. Ombi kwa SUGU usiwe na wewe unaingia kwenye siasa bila ya kuwa na dira au sera kamili ambazo zitasaidia kuendeleza jimbo lako na nchi kwa ujumla. Kitu kikubwa ambacho wengi wetu hapa Tanzania hatukijui wala kukipa kipaumbele ni kwanini mtu anagombea na nini atafanya tofauti na yule aliyepo kuleta mabadiliko. Pili wananchi wajimbo lake wana jua kanuni na sheria za nchi pili wanaelewa nini kuhusu SERA za chama chochote cha siasa. Mimi naona wengi wanakimbili kuchagua mtu kwa sura na sio nini atafanya ambapo baada ya mwaka au miwili tunaanza kujilaumu kwanini tulimchagua. maoni yangu ni watanzania tunabidi tuelemishwe na wabunge inabidi wawajibishwe na wananchi ili maendeleo yaweze kupatikana.
ReplyDeleteWewe acha uzushi kwani kama kazaliwa Washington asiseme? Kazi kweli kweli kwa mtindo huu...
ReplyDeleteAnonymous uliyeniambia niache uzushi,
ReplyDeleteYou are just a joke and weirdo altogether, you are making a big mistake, everyone will boo at you. I reckon it applies there but not these ends, hope I make myself clear. Ana tabia zote za kihaya ndiyo maana
Mbeba box
READING.
sugu mm ni shabiki mkubwa wa ngoma zako zimejaa ujumbe mzuri. safi...
ReplyDeleteGuys I've met with SUGU recently,he really need our support...frank speaking he need money to smoothen his campaign and win. GM
ReplyDeleteMdau uliyesema unamtumia Mbilinyi pesa umenichekesha sana. Ha ha ha!!!!!!!!
ReplyDeleteWewe kijana unaye mwambia mwenzio anacheza na wewe ni wale wale tuu..... mbutaaa. Sugu mwanangu nakuaminia kwa mtazamo wako wa kuikomboa nchi yetu katika huu utawala wa UKUPE tulionao sasa hivi sina pesa nyingi sa kukupatia ila hiki kidogo nilicho nacho tutashea ingawa mimi sio wa mbeya, naimani ukombozi sio lazima uanzie jimboni kwangu, unaweza anzia Mbeya alafu ukaja mkoani kwangu. Nakuombea kwa mungu akujalie na akuepushe na hao mafisadi Ameen.
ReplyDeleteKwa uwezo gani alionao?? Bongo mnapigia debe watu bila kuwa na data zao..Kila mtu anataka kuwa mbunge...mwizi, mchekeshaji, msanii..je tunajua uwezo wao au ndio shangwe tu!!
ReplyDeleteJamani hata mimi naomba nigombee ubunge au udiwani. Ikiwa bro Sugu naye yumo!!!! Naomba nifungue akaunti halafu niwajulishe wadau mnitumie hela zenu wapi.
ReplyDelete