Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha
Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Keep it up my friend Godbless,i remember these days when we was at Kolila sec msosi kwa mzee Chaki,pust,pori ,kande ,kijaulo na maandazi kwa usuni.
ReplyDeleteTupopamoja chalii wangu
jimbo la batilda buriani hilo.wao wasidikizaji tu.
ReplyDeletehivi nyie chadema hakuna wagombea zaidi ya wachungaji,mnaboa sasa,slaa mchungaji,karatu mgombea mchungaji huyu naye mchungaji.na mashekhe na wao soon tutawasikia wanaomba kura.siasa ni uwongo mtupu,haipenezi kiongozi wa dini kuwa mwana siasa.
ReplyDeleteWEWE ANONYMOUS WA 02:03:00 nani kakuambia wachungaji hawana haki ya kugombea nafasi za kisiasa. Changia point acha kuwa na akili mgando
ReplyDeleteMichuzi bwana. mikutano ya ccm unatuonesha hadhira, ya wapinzani unatoa picha za mgombea na barabara ndo ili watu wavunjike moyo that upinzani hamna kitu? please be fair.
ReplyDeletena wewe anony wa tatu acha udini, mchungaji ni raia na ana haki kama zako. hao masheikh hawajakatazwa, only kama wana uwezo wa kuongoza. tunaangalia zaidi uwezo than dini na profession
Kwani Michuzi kwa nini usiweke umati wa watu kwenye kampeni za chadema? You are a very B==I=A==S==E====D reporter! I can see with my naked eyes and hear with my open ears and smell it. Wacha!!!
ReplyDeletewe anoyn sep02.02:03:00
ReplyDeleteacha kulete udini humu.. kama ni wachungaji mbona chadema wapo wawili, watatu tu. humuoni zito,na wngine maustaadh kibao chadema!!
Huoni hao CCM wa wachungaji wa5 ?? fanya utafiti..sio inaonge ongea tu kwa itikadi zako za kidini.
Mbona nnchi hii imeshikwa na dini moja tu ktk sekta zote muhimi..huonii?? hebu tuondolee udini. sisi tunajali uchapa kazi tuu.
Huoni wagombea urais na wagombea wenza wa vyama vingine wote dini moja?? huoniiii?? si afadhali chadem wamemix!!
Hebu tuondoleee udini humu, peleka msikitini au kanisani sio kwenye siasa zetu safi.
Chadema ni wachungaji kwenda mbele mnatisha!
ReplyDeletechadema nguo zenu ni za kikoloni koloni,yaani mnaonekana kama vile manyapala!mnaboa jamani
ReplyDeleteMchungaji Lwakatare?Mchungaji mbunge yule wa mbeya vijijini?Fanya uchunguzi kabla ya kuandika.
ReplyDeleteMimi nachukia hizo nguo kama mgambo wa city! Yaani wangejua watu wanvyowachukia mgambo kisha wao ndio wanafanya sare! Mtakosa kura kwa miguo hiyo, sie mama ntilie na mgambo mbali mbali. Ohoo!
ReplyDeletekaazi kwelikweli..anon wa kwanza kama mgombea mlikuwa darasa moja na kingereza ndo not reachable kiasi hicho "mnatutisha"na mgombea mwenza wenu nasikia ni darasa la saba...Mwe chadema ngoma inogile!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletewe uliyeandika mambo ya uchungaji acha udini, pili fanya utafiti kabla hujapost comment, tatu tukisema tuanze mambo ya udini iatabidi tuanzie ccm basi kwasababu rais, makamu, waziri mkuu na wengi wao ni waislam ina maana ni chama cha waislam?. mtu yeyote yule ana haki ya kugombea.
ReplyDeleteKijenge bado ipo vile vile kama nilivyoiacha miaka 20 iliyopita. Hako kakona hapo kabla ya sokoni kina mama yoii na mabati ya kuti jamani..du!! Kijenge iwe upgrade angalau iwe kama Njiro. Imechoka sana!!
ReplyDeleteKumbe rais kuwa muislam inawauma eeh? Ndio maana safari hii mmevalia njuga mchungaji sijui padiri sijui askofu wenu ili mpate rais mkristo, mawee!
ReplyDeleteYaani mlivyochanganyikiwa mpaka mnasema eti na waziri mkuu naye ni muislam. Yaani Mizengo Pinda leo kawa muislam?
Loh poleni Mtakufa nacho hicho kijiba cha roho! CCM inayeya. Wakati alipokuwa Mkapa rais na waziri mkuu mkristo Sumaye, wala hamukuuona huo ufisadi wa CCM, kwenu ilikuwa poa tu chama kizuri, wapinzani wababaishaji tena CUF mliita chama cha kidini na Chadema chama cha waga. Leo hii Rais muislam na waziri mkuu mkristo mnaiona CCM chama cha fisadi! Loh salalee mlikolalia ndio tulikoamkia hampati kitu mwaka huu na udini na ukabila wenu, mtashindwa vibaya mpaka muone haya!
Mimi nilikuwa sina chama kabisa, nusura niwape kura yangu lakini hapa mmenifungua macho na masikio nyie Chadema kura yangu hamuipati ng'oo,na nitaenda kufanya kampeni kwa ndugu zangu wote niwaelimishee niwaambiee wasiwape kura hata moja!
Haya sasa. Padre Slaa awekwa kona anahangaika kujitetea kuhusu ndoa yake ya kiaina. "Oh Rose Kamili nilizaa naye lakini sikufunga naye ndoa. Oh mbona nyie CCM siyo wasafi oh mimi sitafuti uaskofu" na blah blah nyingi tu. Anasahau sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 inasema mwanamke ukiishi naye miaka 2 basi huyo anatambuliwa kuwa ni mke. Sasa Slaa wewe si unajua sheria? Mbona unajifanya hilo hulioni? Ukiwa padre unakula kiapo cha useja. Yeye kakivunja halafu anamsingizia Pope kamruhusu. Wapi. Slaa umeshindwa kutii kiapo cha upadre sasa unakitaka cha Rais. Halafu ndani ya siku 100 ubomoe kila kitu kuanzia katiba na mazuri yote yaliyojengwa tangu enzi ya Nyerere. Ninasema USHINDWEEE!!
ReplyDeleteNa huyo Marando mbona kauli zake zajigonga? Serikali imewashtaki watuhumiwa wa EPA mahakamani. Wakati huo huo Marando ndiye anaewatetea huko huko mahakamani. Maana yake nini? Maana yake yuko upande wa EPA. Sasa kati yake yeye na serikali ya JK ambaye imewapeleka mahakamani watuhumiwa wa EPA ambako yeye anawatetea nani fisadi? Lakini anasimama jangwani na kusema maneno ya ulaghai.
La tatu. CHADEMA kwani hamjui ni CCM B? Maana yangu hata wafanye vipi kaka yao mkubwa yaani CCM A hawatamweza. Mbona hamuelewi mahesabu. Tanzania anahitajika mtu au chama ambacho ni kipya kabisa ambacho hakijawahi kushabihiana na CCM. Utakipata wapi. Wewe ni muelewa. Bado hujui kuwa CCM is a spirit of which CHADEMA was created out of it. Then tangu lini ufalme ukaupiga vita ufalme wake wenyewe?
CCM oyee!!!!
Tarehe Fri Sep 03, 12:37:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
ReplyDeleteBinafsi sina chama na wala huwa siangalii dini, sikuwahi kujua mtu anaweza kumpigia mtu kura eti kwa sababu za Comment za mtu katika michuzi unachotakiwa ni kuchuja sera na mawazo ya wagombea, sijawahi kuangalia chama kipi kina dini wagombea wa dini yangu wengi bali ni yupi nadhani anaaminika kumpa uongozi, sikuchagulii chama bali usije ukathubutu kuchukua mawazo ya watu katika michuzi na kuwapelekea nduguzo
Chedema nguo zenu zinatisha, zimekaa kama za kivita vita vileee., Jamani msichague chadema inaonekana wameshajitayarisha na vita kwa taswira ya nguo zao tu !!!! wajeshi jeshi chagua CCm imaraaaa Ari zaidi, Nguvu Zaidi na KAsi Zaidi....chagua Kijani ..rangi ya ushindi Kikwete Songa Mbele
ReplyDeleteacha hizo wewe eti utawaelimisha wenzio wewe ni ccm damu acha kuiponda chadema, ila nafurahi jinsi mnavo tapatapa kila mmoja anainyoshea mkono chadema manake inatisha CCM hakulaliki jinc chadema inavotisha, kama huamini sikiliza kauli zao na magazeti pandikizi baada ya uchaguzi hayoo yanatoweka, shame on you!
ReplyDeletehivi kwa nini ccm inaihofia chadema kiasi hicho? kunanini ndugu zangu manake vyombo vya habari vya serikali kama tv radio magazeti nk vyote vinatafuta namna ya kuiharibia chadema, kwani ccm hawajiamini kama zamani? nauhakika chadema isingekuwepo ccm wasingepoteza nguvu kiasi hiki kwenye kampeni, wanaingia gharama kubwa sana maskini ccm kisa chadema, mtakoma mwaka huu!
ReplyDeleteNYIE MNAOLETA MAMBO YA UDINI MNAUPEO FINYU WA KUFIKILI NA UHABA WA ELIMU KICHWANI MWENU TANZANIA YA LEO SIO YA UDINI WALA UKABILA SOTE TU WAMOJA TUNAANGALI MBELE HATA MARAISI WAKIFULULIZA WOTE WAISILAMU KWA AWAMU ZOTE TUNACHOJALI NI UBORA WAO SIO MANENO MANENO KWANI WEWE HUONI UDHAIFU WA CHAMA TAWALA NA MAKOSA YAO KIUTENDAJI AU WEWE UMEZEEKA NINI UNATAKA KUTUALIBIA VIJANA ? KAFIENI MBELE HUKO NA UDINI WENU TUACHIENI TZ YETU YENYE AMANI NA UPENDO
ReplyDeleteNYIE MNAOLETA MAMBO YA UDINI MNAUPEO FINYU WA KUFIKILI NA UHABA WA ELIMU KICHWANI MWENU TANZANIA YA LEO SIO YA UDINI WALA UKABILA SOTE TU WAMOJA TUNAANGALI MBELE HATA MARAISI WAKIFULULIZA WOTE WAISILAMU KWA AWAMU ZOTE TUNACHOJALI NI UBORA WAO SIO MANENO MANENO KWANI WEWE HUONI UDHAIFU WA CHAMA TAWALA NA MAKOSA YAO KIUTENDAJI AU WEWE UMEZEEKA NINI UNATAKA KUTUALIBIA VIJANA ? KAFIENI MBELE HUKO NA UDINI WENU TUACHIENI TZ YETU YENYE AMANI NA UPENDO
ReplyDeleteWe Anon wa 02:03 na 12:37 (Najua ni mtu yuleyule),acha UMBUMBUMBU.
ReplyDeletewe mdau hapo juu acha upuuzi una akili fupi ka za mbayuwayu, haijalishi raisi hata awe mpagani huwa anapigiwa kura na watu wa dini zote, na huwa hakuna kampeni za kuwa asipigiwe kura sababu ni dini flani, acheni kuwaza upuuzi wa kiwango namna hii lol! raisi atapigiwa kura na wkristo, waisilamu, wapagani so msilete ubaguzi wenu hapa na mambo ya dini. Nani kimuume kwa vile raisi ni muisilamu? mantiki yako haina maana inaonekana we ni mswazi wa tandale, makanisani kwenyewe tunamuombea raisi Mungu ampe afya njema na aongoze nchi kwa amani, sasa huu upuuzi wa sijui ati tunaona gere unao wewe na sio uambukize wengine za kuambiwa changanya na zako ni ununda dot com, kesho kutwa uchaguzi wakristo, waisilamu, wapagani tutampigia kura kikwete full stop!!!
ReplyDeleteHuyu Godbless (1) hajasoma, (2) hapa Arusha atapata kura za wale wachaga wenzake ambao hawajasoma kama yeye (3) historia yake ina alama kubwa ya kuuliza (4)kuna hata wanachama wa chadema wanahoji uadilifu wake katika biashara. Kwa vyovyote hatashinda. Copy that losers!!!!! Morani.
ReplyDeleteUkweli ni kuwa kuna wakristo (minority) ambao hata iwe vipi hawatamkubali Rais Mwislamu TZ. Nakumbuka enzi ya Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, Rais Mwinyi alitukanwa kila aina ya matusi na kuzuliwa kila aina ya uongo. (Waliomtukana leo hii wametahayari). Cha ajabu ni kuwa ni wakati wa Rais Mwinyi ndipo TV stations, redio huria, magazeti huru viliruhusiwa; vyakula vilikuwa vingi, Watanzania wazawa wengi walianza kujenga nyumba za kisasa kwa mara ya kwanza na kuingia katika biashara. Wakati wa awamu ya kwanza, ilikuwa hatuwezi kupata hata chumvi, sabuni, unga, mafuta, n.k. madukani. Wakati wa Baba wa Taifa, kila kitu kilikuwa hakipatikani na kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inairuhusu serikali kuwatia watu kizuizini bila kushtakiwa. Ufisadi mkubwa ulianza wakati wa Mh. Mkapa (k.m. sakata la radar, meremeeta, kiwira, richmond, mikataba ya madini, EPA, etc.) Bahati nzuri Watanzania walio wengi hawakujiunga na hawatajiunga na kambi ya chuki. CCM ndicho chama pekee kinachowaunganisha watanzania wa makabila, dini na rangi zote Tanzania. CCM iaendelea kuwa juu Tanzania kwa sababu majority ya atu wanaiunga mkono, mpende au msipende. CCM IMARA.
ReplyDeleteArusha haijawahi kuwa na mbunge ambaye hana digrii na haitaanza mwaka huu. Huyu lema anapoteza wakati wake. Jimbo hili ni la Batilda: mwenyeji wa Arusha, mzaliwa wa Arusha, msomi, mchapakazi, ana akili na mwadilifu. Godbless hana hata sifa moja kati ya hizo. Ndiyo maana hapa A-town tutawaliza chadema.God bless Batila.
ReplyDeleteMimi naomba kujua mambo mawili tu: Je, PHD ya slaa ni ya nini? Pili, kina Mbowe walipataje utajiri wao? J. Laiser.
ReplyDeleteSisi tulioko huku Kenya tunaona kuwa kuna uchaga mno chadema. Je, tutaona 'ukikuyu' pia ukiingia katika siasa za TZ? Mwenye macho haambiwa tazama!
ReplyDeleteMchangiaji wa hapo juu umesema kweli, me pia na jamii yangu wala chadema hawatupati, sera zao kila siku ufisadiiiiiii ufisadiiiiiii huo ufisadi umeanza kwa jk wakati kabla yake ufisadi ulkuwepo, tumewachoka na sera zenu za udini
ReplyDelete...anonymous hapo juu ...acha udini....kinachoangaliwa kwenye urais au uongozi wa umma ni uchapakazi na waala si dini....mwisho wa siku tunaangalia kiongozi ameacha alama gani za kudumu nyuma yake.....takwimu hazidanganyi!!!!!.....dini ya mtu inamuhusu yeye na Mungu wake!!...
ReplyDeletekuweka mbele udini na ukabila ni kufilisika kisiasa.......kwani hiii nchi haitawaliki iwapo kila raia hatapewa fursa bila kuzingatia dini wala kabila....
nawasihi watanzania msidanganyike au kugawanywa na wenye kufilisika ...shehe..,au mchungaji wote wana haki ya kugombea ....nadhani ambao wanazuiliwa na kanisa lao ni mapadri wa kikatoliki wao utaratibu wao ukitaka kuingia siasa ni lazima uache upadri au utawa moja kwa moja....rais wa zamani wa Haiti Alikuwa Padri...