Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Mkwajuni Mbarouk Simai kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Nungwi Mkoa wa kaskazini a unguja.Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini A Unguja katika mkutano wa kampeni wa Chama hicho leo.Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na wananchi wa Nungwi Mkoa wa kaskazini Unguja alipowasili katika uwanja wa Mpira Nungwi Mkoa wa kaskazini Unguja kwa ajili ya kuhutubia wananchi mkutano wa kampeni leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hi, mpiganaji mwenzetu

    pole na uchovu wa misafara lakini kaka embu jaribu kuwa fair basi ulituambia kwamba wewe haupendelei chama ulichonacho sasa hivi lakini ukiangalia BLOG yako imejaa kijana ina maana hata vijana wako hawahudhurii hata kampeni za DSM alafu unatupostia picha za vyama vingine watu wachache unamaanisha nini,

    you know sometimes its better to declare interest for people not to disturb you.

    mpigananji mwenzako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...