Brother Michuzi,

naomba umuwekee mgombea wetu wa ubunge jimbo la Musoma Mjini wa CHADEMA, ndugu Vincent Nyerere blog yake (link below) katika blog yake. Blog yake inaonyesha wasifu wake na harakati zake kwa ujumla katika kuelekea Mjengoni Dodoma ili wadau wengine wa libeneke na wote wanaopitia blog yako wapate tutaarifiwa na kumuelewa.

http://www.musoma2010.blogspot.com/

Ndimi Mdau wako wa Libeneke
Gerald Nyerere
Musoma, Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...