Mbunge wa viti maalum mtarajiwa wa Shinyanga Lucy Mayenga ambaye aliibuka wa kwanza katika kura za maoni za CCM. Miaka mitano iliyopita alikuwa mbunge wa vijana Taifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mmhhh Lucy weeeee....mi kwa uzuri wako tu kura umepata......

    ReplyDelete
  2. du dada mzuri sanaaaaa,

    ReplyDelete
  3. We issa huu ni uchokozi tu sasa

    ReplyDelete
  4. weee dada wee umeshushwa na malaika!!!! kah!!!! kwakweli kwa uzuri tu unao!! ubarikiwe

    ReplyDelete
  5. unatakiwa kuwa na uzuri fulani kupata kura

    ReplyDelete
  6. Sikujua kama Shinyanga kuna warembo!

    ReplyDelete
  7. wabongo mnasikitisha sana yani hamjitambui kabisa,nyie mnaangalia uzuri badala ya utendaji wa kazi.kweli tunasikitisha jamani.

    ReplyDelete
  8. Kama umependa uzuri wake kanywe naye chai by J.K Nyerere.

    ReplyDelete
  9. Huyu hata mimi ningempigia kura bila kujali sera zake. Si mchezo.

    ReplyDelete
  10. NDIYO MAANA KAFIKA MBALI,

    ReplyDelete
  11. congratulations lucy!!!

    ReplyDelete
  12. jamani apewe hizo kura maana mhhh moto

    ReplyDelete
  13. Angekuwa mzungu uzuri wote usingeonekana maana mngeangalia umbo lake, lakini mtoto mashallah, ila kwa sasa taifa linahitaji mawazo chanya na uchapakazi ili tuweze kusonga mbele.

    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  14. Jamani kuuliza si ujinga, zilikuwa kura za maoni kwa uzuri au zilikuwa za maoni gani??

    ReplyDelete
  15. Ila mtoto shujaa sana huyu, huwa anapoints nzuri bungeni za manufaa kwa umma, na pia naipenda communication style yake - hamna jazba, kura yangu kapata!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...