Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake (WAMA) Mama Salma Kikwete (kati) akisalimiana na Wanachama wa UWT Mkoa wa Mara jana,pindi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma . Mama Salma Kikwete yupo mkoani hapo kwaajili ya kukutana na wanachama wa UWT katika mikutano ya ndani kuhusu kuwahamasisha umuhimu wa kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu Ujao mwaka huu.(kulia) Mwenyekiti wa UWT mkoa Mara Nancy Sessani.
Katibu wa UWT Mkoa wa Mara,Helena Chacha (aliesima shoto) akimkaribisha Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (hayupo pichani)alipowasili mkoani Mara jana kwaajili ya kufanya mikutano ya ndani na kuzungumza na wanachama wa UWT kuhusu umuhimu wa kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
kikundi cha wakianamama Musoma Mjini wakimshangiria Mama Salma Kikwete alipowasili katika uwanaja wa ndege wa Musoma.Picha na Mwanakombo Jumaa.

sema anahamasisha umuhimu wa kuipigia kura sisiemu na JK
ReplyDeleteunapogwaya kuandika baadhi ya maoni kwa sababu tu hayaipigii debe CCM unatunyima haki ya kupashana habari hivyo kukiuka katiba.
ReplyDeletePoa |Mama fanya kazi tunakuhitaji
ReplyDelete