Habari kaka Michuzi,
Naomba uwahabarishe wadau ,Kuna matapeli wameingia nchini Tanzania ( Dar es Salaam) wanadai wao ni representatives wa T.B. Joshua wa SCOAN na Emmanueli TV. SCOAN wamekanusha kutuma representative nchini, hivyo kuweni makini. Matapeli wa aina hii wameenea duniani ambao hujipatia mali kwa jina la T.B.Joshua na Emmanuel TV.
Kwa habari zaidi angalieni Emmanuel TV au someni kwenye mtandao www.emmanueltv.com.
Asanteni na tuwe makini na hawa matapeli.
Hao matapeli wapo wengi tu tangu maika ya 80 na 90 wazaliwa wa hapa hapa nyumbani, wewe waone tu wao wenyewe ulinganishe na waumini wao. Wengi wanatoka hata Europe wanasema wanakuja kufanya mikutani. Tafadhali Google kwanza kabla hujakwenda kwenye hiyo mikutano.Watu wamezidi kuhujumu waumini wao, tufunguke macho, kiongozi ambae neno lake ndiyo mwisho muogopeni, huyo siyo kiongozi ni tapeli tu. Na hana hata msaada kwa jamii. Anatafuta kula tu yeye na familia yake, ukiona kiongozi anmpatia kijana wake utawala kanisani ujuwe huyo ni tapeli na siyi kuongozi wa dini wa kweli, anchumia tumbo lake tu.
ReplyDeleteTuwe makini jamani mimi ndugu yangu wakaribu amepigiwa simu na hawa matapeli.
ReplyDeleteWewe ndie tapeli unayetaka kutangaza hiyo website kwa kutuongopea ...kuwa kuna matapeli .. michuzi na wewe hujashtuka tu
ReplyDelete