Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Bw. Dietlof Mare (kushoto) akikabidhi funguo ya gari aina ya Hyundai i10 kwa mrembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel mara baada ya kunyakua taji la urembo huo usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar. Wa kwanza kuume ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk Ladslaus Komba akifuatiwa na Mkurugenzi wa Shivacom, Bw. Tanil Somaiya
Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel (kati) akiwa na mshindi wa pili Glory Mwanga (kushoto) na Consolata Lukosi.
tano bora.
kumi bora.kwa picha zaidi za shoo nzima ya Miss Tanzania
BOFYA HAPA


hongera miss lakn kamati imechemka kumpa zawad ya gari za promotion kwa kwel......
ReplyDeleteMATOKEO YA LIGI YA BARA VIPI??? TUPE MATOKEO TUONDOLEE WACHOVU HAO.
ReplyDeleteKESHO UTASIKIA UCHAFU WAKE KWENYE GAZETI
Hivi Kamati na miss Tanzania , na Wadhamini wetu washindano , katika magari yote mmeona mmpe miss wetu kigari kama hicho?
ReplyDeleteJaji mimi nimevutiwa zaidi na huyo mweusi, mtanzania mwenyewe haswa!
ReplyDeleteHivi kweli mliangalia brand na image yenu itakuaje kwa gari la promotion mlilolitoa , from Grand vitara to bajaj , Mama Mwanvita Makamba ni wakati sasa kuangalia image yenu ilivyoharibika baada ya zawadi ya Juzi...... Vodacom mmemfulia nini?
ReplyDeletewatanzania nawaomba muangalie huyu mshindi sawa anaurefu lakini hili ni shindano la urembo mnakubali kuwa kati ya haooooooo wote mzuri ni yeye? tetesi za undani za sema alikua amepangwa toka mwanzoni alikua akipata nafasi zaidi katika matangazo na mambo mengine naomba muliangalie kwa undani zaidi mimi binafsi sijaridhika kama huyu ndio atakae tuwakilisha miss world.
ReplyDeletekwa kweli huyu dada wa kulia mwenye blue ndiye mkali lakini haya
ReplyDelete