Home
Unlabelled
msaada tutani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chadema kuweni serious acheni uhuni....kwanini msitumie account ya Chadema badala ya kutumia account binafsi ya mgombea? Tukiwahisi wezi inakuaje?
ReplyDeleteWeka basi Paypal...siye kutuma huko TZ kwenye account hizo inahitaji mahela mengi kwa hizo fee zao zilizopo...Hapa nikituma CRDB nachargiwa $35 per transaction...Sasa kama ninampango wa kukupa $50 si unabakia na $15 tu jamani ...Weka paypal account haraka tutajicheap in mpaka kieleweka
ReplyDeletekaka mchango mzuri ni wa kukulindia kura tu na wala si pesa, hakikisha unatafuta wa kukulindia waminifu, hapo ndo pana kazi.
ReplyDeleteBe up kijana! Michango naamini inakufikia! Naomba nimwelimishe huyo bwana wa account ya chama, tofautisha mchango binafsi na mchango kwa chama, Chama kinautaratibu wake ambao unawafaidi wagombea wote ila kila mgombea pia anauhuru wa kuchangisha kwa njia yake mwenyewe! ni sawa familia yako ikuchangie....utawaambia wapeleke pesa kwenye akaunti ya chama? Pia kuna watu wanamkubali mgombea yeye kama yeye na sio chama chake hivyo huwezi kuwalazimisha kuchangia chama......ila nimekusoma kwa undani nimekushtukia unachotaka!
ReplyDeleteMSECHU.
Be up kijana! Michango naamini inakufikia! Naomba nimwelimishe huyo bwana wa account ya chama, tofautisha mchango binafsi na mchango kwa chama, Chama kinautaratibu wake ambao unawafaidi wagombea wote ila kila mgombea pia anauhuru wa kuchangisha kwa njia yake mwenyewe! ni sawa familia yako ikuchangie....utawaambia wapeleke pesa kwenye akaunti ya chama? Pia kuna watu wanamkubali mgombea yeye kama yeye na sio chama chake hivyo huwezi kuwalazimisha kuchangia chama......ila nimekusoma kwa undani nimekushtukia unachotaka!
ReplyDeleteMSECHU.