Habari mkuu wa Libeneke.
Mimi ni mdau wa globu hii ya jamii.
Niko hapa Norway. Namtafuta rafiki yangu namjua kwa ajina moja TASI aliwahi kuishi USA miaka ya nyuma baadaye akawa anafanya kazi Sudan chini ya UN kitengo cha IT.
Tulikutana Tanzania wizara ya ardhi wote tukihangaikia mambo ya hati za viwanja mwaka 2007. Tulipeana contact lakini kwa bahati mbaya nikapoteza simu yangu na contact zake ndani. Amejenga maeneo ya Samaki wabichi-Mbezi na mke wake alikuwa anafanya kazi maeneo ya Ubalozi wa USA wa zamani sikumbuki jina la kampuni.
Naomba akisoma ujumbe huu au kama kuna mtu amjuaye tafadhali anijulishe kwa e-mail.
aal090tz@gmail.com

Umempata... Ntampa Contact zako kaka usipate tabu, Tasi yuko wa afya njema... Mdau
ReplyDeleteAnko Huyo atakua Tasi Chiume, maana na fit discription hiyo kabsaa. Sasa mimi sina contact ya Tasi ila kama unatumia Facebook wewe ingiza jina lake kwenye search engine ya Sura ya kitabu alafu utampata. La!! Anko Michu wewe unawajua sana hawa wakina Chiume's wakina Kwacha, Bosi na Nathan ulikua nao wenyeji wako New York msaidie mdau.
ReplyDeleteAsanteni.
RAFIKI YAKO GANI HATA HUJUI JINA LAKE LA PILI????? HUYO SIYO RAFIKI YAKO, WEWE SEMA UNATAKA KUMTAPELI TU...
ReplyDeleteASANTENI SANA JAMANI. NIMESHAWASILIANA NA TASI TAYARI. KILA LA HERI BLOG YA JAMII.
ReplyDeleteAsante jamii kwa kutukutanisha. Tasi Chiume
ReplyDelete