Ankal hope upo fine,
Naomba tumsaidie huyu dada mwenye picha hiyo niliyoambatanisha kwani zimeokotwa barabarani hapo nje ya ofisi yetu picha nyingi za kitchenipary yake. sasa haijulikani atapatikanaje. nimefikiria na kuona ni tukio la kukumbukwa kwake hivyo nikaona kwa vile blog yako inavisitiwa na watu wengi yawezekana mmoja wapo akamjua ili achukue picha zake. How do you see wazo langu? je twaweza kumpata kweli? kwa maelezo zaidi akitaka picha zake nyingine tuwasiliane through my email.
Regrds
Emmy
emmy@pct.co.tz

NJIA RAHISI YA KUMPATA NI KUWEKA PICHA YENYE WATU WENGI, INAWEZEKANA KILA MMOJA WETU AKAMFAHAMU MMOJA WAPO KWENYE SHEREHE HIYO NA SI HUYU MLENGWA.
ReplyDeleteWazo zuri anon hapo juu.
ReplyDeleteWeka picha zaidi ya moja inayoonyesha mapoz tofauti tofauti ndo twawezatambua vizr sura yake. Namuunga mkono mdau hapo juu picha ya watu na hata matroni wake
ReplyDeleteWAPE PICHA MOJA TU GLOBALPUBLISHER MAGAZETI YA UDAKU ATAPATIKANA MARA MOJA.TENA CHAPCHAP ILA WA INSIT WASICHANGE STORY.
ReplyDeleteduh no comment!!
ReplyDeleteduh no comment!!
ReplyDeletemichuzi mimi naona bora ungemtumia shamim zeze hii picha yeye hupenda kupiga picha za namna hii labda anamfahamu
ReplyDelete