Home
Unlabelled
sammy cool na darasa la vipaji katika kituo cha utamaduni wa urusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Halafu tukiachwa nyuma tutalalamika? Hebu angalia hiyo picha mwalimu mbantu lakini hamna hata mtoto moja wa kibantu. Kwanini? Sababu ya wazazi wengi hawatilii mkazo mambo ya sanaa kabisa. Hawajui kama usipofanikiwa kuwa DR, lawyer au engineer unaweza kumake a life out of arts...
ReplyDeleteMimi nilivyokua nasooma huku wala sikufuta vibibi kabisa ili niweze kulipa bills zangu. Nilifundisha piano watoto nikawa nalipwa vizuri sana tu. Piano yenyewe nilijifunzia kanisani na kuread piano note nimejifundisha mwenyewe na wala sio pro bado lakini niliweza kupull up na kufundisha watoto wadogo wanaoanza basic piano lesson..
Itabidi wazazi wa new generation muamke na kuyapa kipaumbele haya mambo pia la sivyo tutapitwa kila siku na kuishia kuimport hata walimu wa dance. Kama mtu unaweza kwenda bar kila ukitoka kazini jioni sidhani kama utashindwa kumlipia mwanao course ya week 6 tu....Wala mtu asiniambie hela hamna, hela ipo sana bongo ila jinsi ya kuitumia ndio watu hawajui.
mzeee zumbweee.......marangu sec iyo 84,keep it up babu
ReplyDeletegugu
Ulikua umeanza kutoa point mpaka ulipoanza kusema kuwa huku hukufuta, nafikiri ulikuwa unamaanisha hukufuata vibibi kulipa bills. Kila mtu ana uelekeo wake maishani, kama wewe ulikuwa umefundishwa piano, basi poa; sio kila mtu alikuwa na fursa hio. Wengi wanafuata vibibi viwape makaratasi; that is their business!
ReplyDeleteSio kila mtu anakwenda kanisani. Mie mzee wangu alifundishwa music enzi za ukoloni akawa anapiga kinanda kanisani, lakini sikusikia akimponda mtu yoyote. Humility goes a long way! Unaweza ku-make a point without being obnoxious!
Hongera Sammy Cool kwa kuendeleza libeneke- but nakushauri uwe unachukua chako mapema toka kwa wazazi wa wanafunzi wako. Yasije yakakutokea yale yale ya TBC1..... nI MIMI Rafiki yako wa zamani; YCIC
ReplyDeleteHongera sana Sammy Cool. Nimefarijika sana kuona unajituma. Big up you will get the reward
ReplyDelete