
TANZANIA ilionyesha kiwango kizuri katika mashindano hayo kutokanana kucheza mchezo wenye ujuzi mkubwa ambapo iliweza kuisambaratisha LESOTHO .
Akifungua mashindano hayo naibu waziri wa michezo wa AFRIKA KUSINI GERT OOSHIZEN amesema kuwa mashindano hayo yanaimarisha mchezo huo na kuweka ushuaino mzuri baina ya nchi zinazoshiriki.
Mchezo mwingine ulikuwa kati ya ZIMBABWE na AFRIKA kusini ambapo timu hizo zimeonyeshana kazi kubwa kutokana na kila timu kujiandaa vilivyo ambapo AFRIKA KUSINI iliibuka mshindi kwa magoli 64 kwa 29.
Kwa upande wake kocha wa TANZANIA SIMONE MCKIWIS amesema a mefuahia ushindi wa timu yake na kuanhidi watanzania kuwa timu hiyo itaendeela kufanya katika michezo yake inayoendeela ambapo amewataka watanzania kuiunga mkono timu hiyo.
Hata hivyo mashindano hayo yamekosa msisimko mkubwa kutokana na mashabiki wachache kuhudhuria, tofauti na mashindano ya kimataifa yaliyofanyika nchini mwaka jana ambapo watu mbali mbali waliweza kuhudhuria.
Mashindano hayo yanashirikisha timu sita kutoka AFRIKA ambazo ni NAMIBIA,TANZANIA,BOTSWANA,LESOTHO,ZIMBABWE, na wenyeji AFRIKA KUSINI.

mashindano hayo ni ya mchezo gani?mbona habari haijaeleeza vizuri?
ReplyDeletekwani huoni si mashindano ya kupanga mstari,watakaoonyoosha ndio washindi
ReplyDelete