KUTAKUWA NA TAMASHA LA MUZIKI NA INJILI KATIKA KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE MJINI WASHINGTON DC, WAIMBAJI MAARUFU AKIWEMO MSHINDI WA KORA AWARD KWA AFRICA GEORGE OKUDI KUWEPO MHUBIRI WA KIMATAIFA ASKOFU WALTER SMITH ATAHUDUMUSIKU:
JUMAOSI,JUMAPILI NA JUMATATU
MUDA 1PM - 6PM KILA SIKU
MAHALI
10110 GREENBELT ROAD
LANHAM, MD 20706
MAELEZO ZAIDI PIGA
240 338 4917
301 712 2572
301 256 6018


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...