mkutano uliofanyika jijini Lilongwe siku chace zilizopita ambao ulikuwa juu ya mazungumzo yanayohusu mpaka kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Malawi. Ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Miria H. Bilia Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Pichani juu Balozi Patrick Tsere akiwa na Naibu Mkuu Miria Bilia wakati wa ufunguzi wa mkutano wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mijini wa Malawi, Mhe. John Bande.

Washiriki wa mkutano huo wa mpaka wa Tanzania na Malawi. Waliokaa mstari wa mbele kuanzia kushoto ni Ndugu Masele wa Muelekezaji wa masuala ya Upimaji na Ramani, anayefuatia ni Balozi Tsere, Naibu Katibu Mkuu Miria Bilia, Waziri John Bande, Katibu Mkuu Ardhi Malawi na Naibu Katibu Mkuu wa Malawi, Bi Tressa Senzeni


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wape salam zetu wajumbe wa mkutano huo baina ya Tanzania na Malawi.Mimi binafsi nawaombea kila la kheri na mafanikio katika kazi na kila mmoja wao binafsi. Ombi langu ni kwamba wakati umefika tuanze kukataa kuendelea na makombo ya ukoloni,Tanzania could be a state and Malawi another state in United African States. It was a dream of our political fathers and as students we dreamt that once we all break the chains of colonial slavery we would embrace our brothers and sisters and sing "FREE AT LAST"
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  2. wameongelea nini? mbona ni kama photo opportunity and publicity tu!!

    ReplyDelete
  3. Enhe, kwa hiyo mpaka upo katikati ya ziwa (kama ilivyo Mozambique) au kando kando ya ziwa upande wa Tanzania (kwa hiyo mtu akitoka Mbamba Bay, Liuli, Ludewa etc kwenda kuvua immediately atakuwa amevuka mipaka ya nchi na anafanya illegal fishing in Malawi? What crap!)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...