Wadau wa Maliasili na Utalii kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Wanyamapori Erasmus Tarimo, Mkurugenzi mkuu wa Pongwe Safaris Scolastica Ponera, Afisa Kutoka Selous Game Reserve Bw. Kassim Kayoyo, Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Geofrey MeenaBw. Emmanuel Kutoka TANAPA, Afisa Mkuu wa Utalii Selous Game Reserve Bw. Alli wakiwa kwenye banda la Pongwe Safaris lililokuwa chini ya banda la Wizara ya Maliasili na Utalii.
Wageni mbalimbali mwakitembelea katika banda la wizara ya Maliasili ha Utalii katika maonyesho ya utalii yaliyofanyika Abu Dhabi hivi karibuni.Wizara ya Maliasili na Utalii ikishirikiana na Bodi ya Utalii nchini na Taasisi nyingine kama TANAPA, Ngorongoro na washiriki wengine pamoja na wadau wa masuala ya utalii wameshiriki vyema kwenye mapnyesho ya Utalii ya Abu Dhabi Hunting And Equaesition Exbihition Abu Dhabi kuanzia tarehe 22-25 mwezi Septemba 2010. Katika maonyesho hayo Tanzania iliweza kuuza vizuri Utalii wa Tanzania kama vile Uwindaji na utalii wa picha kwa wakazi wa Falme za Kiarabu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...