Meneja Rasilimali Watu wa kampuni ya TPC Bw Teophory Mbilinyi akipokea tuzo ya ngao na cheti ya ushindi wa jumla toka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwan Ramadhani Kijjah. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw William Erio. Sherehe hii ilifanyika tarehe 15.09.2010 wakati wa mkutano wa wanachama wa PPF uliofanyika katikaukumbi wa AICC, Arusha.kwa habari kamili
BOFYA HAPA


PPF PPF PPF, mbona mnatupa mafao duni sisi walimu wa vyuo vikuu,kweli nesi anapata 70,000,000 mimi profesa wa muhimbili ninachangia PPF KWELI NALIPWA 18,000,000 kama malipo yangu ya mkupuo.....HII SIO HAKI...
ReplyDelete