Mgombea ubunge wa jimbo la Nkenge kwa tiketi ya CADEMA,Focus Rwegasira ambaye ni mpiga Disco maarufu mkoani Kagera, akijinadi wakati wa uzinduzi rasmi wa mikutano ya Kampeni ya chama hicho uliofanyika maeneo ya mafumbo ndani ya manispaa ya Bukoba.
umati mkubwa ukimsikiliza mgombea wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Bukoba mjini kupitia tiketi ya CHADEMA,Wilfred Lwakatare alipokuwa akiongea na wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho.

Ankal Michuzi weka wagombea wote wa urais ili wanablog wapige kura ni nani anafaa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano na wa Zanzibar. Hii itatoa picha wanablog ya jamii wanamaoni gani katika mchakato huu wa uchuguzi.
ReplyDeletehuu ndo wendawazimu wa wapinzani,ccm itatawala milele kwa ujinga wenu.rwakatare umetoka CUF na kuenda chadema wakati cuf bado ina nguvu bukoba,hapo matokeo ni kuzigawa kura za cuf na chadema na ccm kupita kiurahisi sana,uiangalia tarime mbuge wa chadema ameenda cuf,sasa kura za chadema zitaenda nusu kwa cuf na ccm kupita kiurahisi tarime.tatizo ni uroho wa madaraka.
ReplyDeleteUroho wa madaraka uko CUF na CCM kwa sababu kuu mbili mwaka 1995 CHADEMA hawakusimamisha mgombea ili waunge mkono NCCR-MAGEUZI chama kilichokuwa mashuhuri wakati ule mwaka 2000 wakaunga mkono CUF waliosimamisha Professor Lipumba miaka iliyofuata baada ya CHADEMA kuwa mashuhuri bara NCCR na CUF wamekataa kukiunga mkono wakati wakijua chama hicho kwa bara ndio mashuhuri kwa upande wa upinzani kama ilivyo CUF kwa upande wa Zanzibar sasa hapa nani ni mroho wa madaraka? Ukizingatia CHADEMA inaunga mkono CUF Zanzibar?
ReplyDeleteBro, Wifred, bado unatapatapa. Unabadili vyama kuliko Puff Diddy anavyobadili magari...ha ha ha .....
ReplyDeleteMhhh... nina alama ya kuuliza kubwa sana kuhusu Lwakatare na Marando...au labda ni mimi peke yangu ambaye nina hofu na hawa jamaa wawili?
ReplyDeleteMi namsapoti Dk Gertrude Lwakatare SI huyu Wilfred.
ReplyDeleteMcahngiaji wa 3 wacha uongo. chadema kimeshatamka kuwa kinapinga muafaka baina ya wazanzibari kati ya ccm na cuf, sasa utasemaji eti chadema kinaunga mkono cuf zenji.
ReplyDelete