Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Wimbo muurua, lakini video ina makosa kibati! 33% ya viongozi wa nchi aidha ni marehemu au hawako tena madarakani. Tuwe makini jamani

    ReplyDelete
  2. Anonymous wa pili, watu huzaliwa, kuhama, kuachia ngazi au kuondoka ulimweguni randomly, hivyo ni Mungu pekee ndiye anajua tutazaliwa, kuhama au kufa lini.

    Hongera Innocent Galinoma kwa ujumbe wenye mistari ambayo siyo rahisi kufifia ndani ya miaka 100 inayokuja. Pia historia, siasa, filosofia na geography zimo ndani ya huu wimbo.
    Mdau
    Jijini London.

    ReplyDelete
  3. hongera sana kwa ujumbe muhimu..lakini video inatuchanganya kwani baadhi ya viongozi hawapo tena duniani na wengine hawapo madarakani,hivyo somo hili la siasa linachanganyika na somo la historia wanafunzi tumebaki midomo wazi hatuji tushike lipi? kwani umekuwa mseto usiopita kinywani

    ReplyDelete
  4. Kuungana africa yote itakuwa ngumu. Hapa Bongo tu kazi, Zanzibar juzi wametangaza nao ni nchi. Sasa utaweza unganisha Afrika yote? Tuombe uongozi bora, siasa safi na tutokomeze mdudu Rushwa. Itakuwa swadata!!

    ReplyDelete
  5. Nice song. Afrika kuungana ni ndoto will never happen. Umaskini left right and centre. Siasa imekuwa ni biashara ya binafsi, mwezi uliopita ankal alitoa picha ya ikulu ya Malawi, hata White house haioni ndani, sasa unajiuliza yote haya ya nini, from mashangingi to nyumba za kifahari Watu wenyewe tumezaliwa Tandahimba, Njenga na Uhui hata barabara ya lami hamna, basi tabu tupu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...