Meneja wa bia ya Redd's Premium cold,Kabula Nshimo akiongea na waandishi wa habari waliofika leo katika kampuni ya kutengeneza bia Tanzania (TBL) sambamba na warembo washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2010 walipotembele kiwanda hicho leo.Meneja Mawasiliano wa TBL,Edith Mushi akiwapa somo la kuhusiana na umuhimu wa maji kwa jamii,warembo washiriki wa Vodacom Miss Tanzania waliotembelea kiwanda hicho cha bia leo kilichopo Ilala,Mchichini.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania,wakipata maelezo ya namna ya utengenezaji wa bia zinazozalishwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kutoka kwa afisa wa TBL upande wa upishi,Tumaini Moses.
Warembo wakipata mafunzo ya namna ya uzimaji moto toka kwa Meneja usalama kazini,Renatus Nyanda.
Afisa usalama wa TBL,Ismail Kalema (pili kulia) akiwaelekeza Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakati wa mafunzo ya uzimaji moto waliyokuwa wakiyapata leo katika kampuni ya bia Tanzania,TBL.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Duuh hawa watoto watachoka sasa. Naomba waje wanitembelee nyumbani kwangu TMK.

    ReplyDelete
  2. Sawa Bradha.

    Ila tu watakapokwenda UFUKWENI tu usitusahau na sisi ndugu zako.

    ReplyDelete
  3. hi kaka michuzi mbona sioni e-mail yako.naomba nijulishe mana kuna langu nataka kukutumi

    ReplyDelete
  4. Kabula Nshimo vipi, nimeona picha yako hapo nikakumbuka mambo yetu ya siku zile, duu!!! ilikuwa si mchezo.
    Kazi njema

    ReplyDelete
  5. mbona hawana mask za kuziba pua?????

    ReplyDelete
  6. cant wait for Miss Tanzania...do pass by laprincessaworld.blogspot.com new blog! cheerio!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...