Rais wa zamani wa Nigeria, Mhe. Olesegun Obasanjo (kulia) akijibu swali wakati wa mjadala maalum kwenye Mkutano wenye lengo la kuleta Mapinduzi ya Kilimo Barani Afrika uliofunguliwa jana jijini Accra, Ghana. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama na katikati ni Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda wakimsikiliza.
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda na akiwa na Mwenyekiti wa Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA), Mh. Kofi Annan (kushoto) wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama wakati akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye Mkutano wenye lengo la kuleta Mapinduzi ya Kilimo Barani Afrika jijini Accra, Ghana.

Safi Mh. Pinda nakukubali ndani ya suti kali.
ReplyDeleteBora kampeni zimembana sasa hiv na wewe unatoka.Manake ilkuwa too much!
Wakilisha mheshimiwa wetu!!
JK mbona hasafiri nje siku izi?
ReplyDeletePinda 4 President 2015! Watu wanaochapa kazi kama hawa ndio wanatakiwa kuliongoza Taifa letu.
ReplyDeleteMheshimiwa Pinda hii tai inafanana na ile uliyoenda nayo Burundi siku chache zilizopita. Hii ni ile ile au zinafanana tu?
ReplyDeleteAngalia kwenye vidole Mzee Pinda kala sign ya Haile Selassie.Mimi nilijua tangu zamani Mzee Pinda Rasta yule!!!!!!!
ReplyDeleteBig up Mh Pinda your the next President jamaa ni mtu safi na mtu wa watu sana na next week anaenda NEW YORK kuhutubia baraza la usalama
ReplyDelete