Home
Unlabelled
ankal akiwa utete, rufiji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal,salama lakini?
ReplyDeleteHongera kwa vekesheni,na pole kwa kichapo..
Eti hizi tetesi ankal karudisha card ya liver na kuchukua ya Chelsea ni za kweli?
ReplyDeleteAnkal hapo Utete bado iko biashara ya mbao ama wameshafyeka misitu yote?
ReplyDelete(US Blogger)
Ankal, hapo ni home village, umenigusa sana mdau, unatuonyesha ni jinsi gani unavyojituma kipindi hiki cha campaini. Juhudi hizi ziendelee!Umeme umeshawaka? Maji ni bwerere masaa 24!! Pongezi kwa Watendaji wote!!
ReplyDelete...Kama kawa, ze fulanazzz inawakilisha globu!
ReplyDeleteMdau wa Mwenge
Michuzi si uhamie Man U kwa muda? Man U hawana ubaguzi!!
ReplyDeletehuo ndio umasikini wa nchi michuzi anaoshabikia
ReplyDeleteankal bora uhamie arsenal. bwawa la maini limekauka iliyobaki litakukamua wewe maini yako.
ReplyDeletemdau ndani ya MAISHA UTANI
Ha ha ha ha Michuzi sijui kama uliangalia hiyo mechi! Maana fans wa Bwana mmefulia kinoma, hatuwaoni hata mkiongeo. Wenzenu wanatimu guruwe lao wanabaki na mchicha-rito.
ReplyDeleteGunner forever.
Ankal, siriaz, mwaka huu 'Bwawa' lina hatari ya kushuka daraja.
ReplyDeleteUtete Rufiji mbona kutu nyingi? Hiyo inaathiri watoto na kuchafua mazingira. wizara ya afya infanya nini? Watu wanakazana kuangalia wa ligi ya Uingereza. Wamesahaulika? Afya kabla ya kilimo. Una mpango gani Michuzi, gombea ubunge uwatetee hao ndugu zetu wa Rufiji.
ReplyDeleteMichuzi, wakati wa usajili mdogo January, njoo arsenal kwa MKOPO. Wenger ana hela wa ya wachezaji 1 au wa 2. Na pia mambo mazuri kwa mashabiki na wapenzi, mwenyewe (AW) anasema kesha nusa harufu ya mambo makubwa. Tumemaliza deni letu la kudevelop Haibari( Highbury). Tuna faida ya TShs 130billion kabla ya kodi.
ReplyDeleteMdau Kiwoso - Kidachini
Hahahahahahahaahahahahahahah! Kwa kweli umenifurahisha sana. Ila nimefurahi zaidi kusikia unataka kuhamia Chelsea. Tuthibitishie tafadhali
ReplyDelete