Home
Unlabelled
CHADEMA wavamia TAKUKURU A-Taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbinu chafu,matumizi mabaya ya vyombo vya usalama wa nchi,vitisho kutoka kwa wapiga ramli(sheikh yahaya) vyote ni dalili kwamba CCM ipo mahututi.HII MAKANDAWILA INA WENYE MWAKA HUU.
ReplyDeleteCCM imefikia tamati.tunaiomba ipumzike kwa amani.hatutaki uhuni wa watu wachache utupotezee amani yetu.
ReplyDeleteHayo ni ya arusha.hatujajua sehemu zingine hawa PCCB wanafanya nini.Hiki chombo kinatumia kodi zetu kama kimeshindwa kazi kiache usanii.Pesa za kuendeshea PCCB zihamishiwe AFYA.
ReplyDeleteNasema PCCB ifutweeeee!!!!!!!
Hivi hii PCCB ni ya kupiga au kupigania RUSHWA?
ReplyDeleteHawa PCCB waliowahi kusema hakuna harufu ya rushwa RICHMOND ndio tunatarajia waikamate CCM?tuwe sirias.tuacheni mizaha jamani.
ReplyDeleteMichezo michafu ya CCM haina budi kutokea.hizi ni dalili za kuanguka kwake.umakini mkubwa unahitajika.
ReplyDeleteAMKENI SI SHWARI TENA.
Huyo Lema si alisema anasubiri kuapishwa tu kwa kuwa yeye ni mbunge tayari? Tena alitutukana wanawake kwa kusema CCM imeweka mgombea mwanamke ni dhaifu na angejua kuwa watamuweka mwanamke na yeye angemwachia mkewe agombee hilo jimbo. Sasa ile dharau ya kichaga iwapi tena?
ReplyDeleteWanawake ni jeshi imara na ni wapiga kura tunakusubiri kwa hamu hiyo siku ya uchaguzi tukuonyeshe udhaifu wetu wa kike. Na ndio kuanzia siku hiyo utatuheshimu!
Kinamama wa Kimandolu
Mbona Chadema wanamwaga pesa ovyo hapa Arusha nyinyi watoa comments wa Chadema hamlalamiki? Au hamko Arusha nini? Wacheni unafiki na uzandiki. Let him without a sin cast the first stone.
ReplyDeleteipo siku haki itasimama tu
ReplyDeletekila mwanadamu na utawala duniani una mwisho
TATIZO KATIBA YA TANZANIA HADI LEO NI YA CHAMA KIMOJA NA NDIO MATATIZO YANATOKEA. RC, RPC NA VIONGOZI WENGI WANAWAJIBIKA KWA RAISI HIVYO HAKUNA MAHAKAMA AU WAKUU WA MKOA WATAKAO WEZA KUMPIGA RAISI.
ReplyDeleteMFUMO MZURI NI WA AMERIKA IKIWA KWELI TUNAIPENDA NCHI YETU BASI TUIGE NCHI ZILIZOFANIKISHA KWA MENGI MANA HAKUNA MTU AU NCHI ILIYO KAMILIKA 100% ILA KUNA MTU AU NCHI ILIYO BORA KULIKO ZINGINE.
HIVYO TUCHAGUE VIONGOZI WALIO BORA KWA TAIFA NASIYO VIONGOZI BORA WA KULINDANA NA KWA MANUFAA YA WACHACHE.
MFANO MZURI NAIMANI ITAKUWA ZANZIBAR PINDI WANANCHI NA SERIKALI WATAFUATA HAKI BILA UPENDELEO MAANA CCM AU CUF AU CHAMA CHOCHOTE NI WATANZANIA HIVYO KILA CHAMA KINA HAKI YA KITAIFA HIVYO KWANINI TUGOMBANE TUACHIE WANANCHI WAAMUE WANAMTAKA NANI.
KIKUBWA MWANANCHI UKIPEWA RUSHWA CHUKUA HIYO NI RUZUKU INAKUJA MARA MOJA KILA MIAKA MITANO LAKINI KWENYE SIKU YA KUCHAGUA MCHANGUE ANAYEFUA KUIONGAZA NCHI NA RUSHWA ISIWE KIEGEZO.
SHEKHE YAHYA HANA LOLOTE NA KAMA MNATAKA KUJUA MUULIZE ULIFANYA NINI JANA AU JUZI MAANA ULICHOKIFANYA UNAKIJUA AU FUTURE NI UONGO MTUPU ANAYEJUA FUTURE NI MUNGU PEKEE.
MAMBO YA SHEKHE YAHYA HATA INDIA YAPO NILIKWENDA JAMAA AKANIAMBIA NTAKUELEZA MAISHA YAKO YOTE YA BAADAE NIKAMWAMBIA YANINI YOTE HAYO NIAMBIE NIMETOKA WAPI NA NINAENDA WAPI MBONA ALISHINDWA AKANIAMBIA WEWE MJANJA CHUKUA DOLA 50 ONDOKA HAPA UTANIHARIBIA BIASHARA YANGU.
NAIMANI WATANZANIA MMEAMKA WAGANGA KWA UJUMLA NI WAONGO WAO HUKUPA MANENO 50 ILI KUKUBABAISHA MAANA KATIKA 50 MAWILI YATAKUWA KWELI NI KAMA MTU ASIYESOMA KUFANYA MTIHANI WA KUCHAGUA MAJIBU KWA HALI YOYOTE KATIKA MASWALI 100 ATAPATA HATA 20 LAKINI HAJUI ILA KABHATISHA LAKINI MPE MTIHANI USIOKUWA WA KUCHAGUA UTAONA KAMA ATAPATA HATA ROBO MARKS HAMNA. WASALAMU MOHAMMED
wacheni hizo wana chadema..ndoto za mchana zina madhara yake nayo ni kutapatapa..ati takukuru wanaibeba ccm...mngepiga hata picha na mikanda ya video mkapeleka vielelezo lakini kelele tu..mbona mkitukaribisha mbege hatusemi ni rushwa? Lema, dharau zako anguko lenu..CCM tunasonga mbele.....SASA NI WAKATI WA ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI...anayeweza naaaniii...DR.BATILDAAAAAAAA
ReplyDeletechadema imekula kwenu,sahauni kupata ubunge arusha mjini,arusha mjini ccm itashinda zaidi ya asilimi 75 maana mbunge anakubalika sana.poleni
ReplyDeleteHuyu ndugu IBWAGIRE ITIRIRE naona hata akienda chooni anamuwaza Sheikh Yahya na akilala pia anamuota sheikh Yahya ushauri wa bure bora uende kwake MUYAMALIZE akupatie TIBA utapona.
ReplyDeletena nyie chadema walalamishi sana kila kitu mnajiona nyie nisahihi na mpo wasafi kumbe hamna lolote mkiingia madarakani mambo ni yaleyale pesa ni kitu kingine bwana.alafu ulalamishi wenu utawaponza hamtoi sera kazi kuwasema wenzenu kwa mabaya watawachoka sasa .
ReplyDeleteKidumu chama tawala
ReplyDeletejamani mapungufu ya shekh sio mapungufu ya msaafu na mapungufu ya askofu sio mapungufu ya biblia, kwa maana hyo mapungufu ya TAKUKURU cyo mapungufu ya CCM, Madai yenu hayakuwa ya msingi hata wewe bwana lema unatoa rushwa madam umeamua kutufumbua basi 2ko nyuma yako,ulishndweje kuchukua hata picha au kuwakamata kwani kuna dhana ya police jamii,kila raia ni askari ulishndweje? Usiteme pipi kwa karanga za kuonjeshwa, kama wanawake dhaifu sie ndo 2nawapenda ili 2wape ujasiri, wakina mama chagua ccm ambyo imewarudishia heshma kwa kuwapa mgombea mwanamke mwenye uwezo, ccm oyeeeeeh
Mimi sina chama. Lakini naamini katika utaratibu wa kulalamika ili tuepushe mikasa inayoweza kutokea.
ReplyDeleteChadema, msichukue nguvu mkononi> Kuweni wastaarabu! Msianze kutuletea mambo ya mabarabarani!
Mwishowe, tutayaaona ya "instant justice" bure!
Taratibu za kulalamika ndio hizi?? Hata sheria hamjui, mnaleta mambo ya kiuni hapa...ndio chadema hao eti leo wanataka kuongoza nchi, kwa mwenyezi mungu epusha mbali..
ReplyDeleteLazima tukubali ukweli. Spidi ya chadema Arusha imekwisha. Wagombea wake wote hawakubaliki na Wana-Arusha. Hizo fujo hazitawasaidia. CCM IMARA DAIMA. Morani7.
ReplyDeleteChadema wanajua hapa A-town hawataambulia kitu, hence vituko vyao hivyo. J. Laiser.
ReplyDeletePCCB wanalinda ajira zao tu hao hawana lolote, waliwakamata watoa rushwa wa ccm, dr batilda akawapigia simu kuwaamuru PCCB wawaache huru hao waliokamatwa na wakatii amri.. ndiyo serikali tuliyonayo. mkuu wao hosea alitetea richmond kwa amri ya bosi wake aliyemwajiri itakuwa hako kakamanda ka arusha
ReplyDeleteKwa bahati nzuri mimi ni lumpen prolitariet (si mwanachama wa chama chochote cha siasa) hivyo naona kwa macho mawili na siwezi kuwa biased katika kuamua migogoro inayohusu pande mbili.
ReplyDeleteKama NCCR mageuzi mwaka 1995 na CUF mwaka 2000 na 2005 viliposhindwa hata kabla ya kupigwa kura na hatimae matokeo kutangazwa kutokana na ubinafsi na ubaguzi.
Chadema inaelekea kushindwa kutokana na kauli za viongozi wao na kutangatanga kwa wanachama. Kauli za baadhi ya viongozi wa dini kuikampenia chadema na mgombea uraisi kulumbana na mnadhimu mkuu wa jeshi, kutangaza itakwenda mataifa kura zikiibwa ni kukiongezea chama maadui wakati kilitakiwa kuwapunguza kwa kipindi hiki cha kampeni.
Nasikitika, lakini kwa mtaji huu sisi emu itaongoza mpaka wachoke wenyewe.
KK
Magamba Coast.