Nimetoka kuingia katika website ya NEC ambapo nimeweka nambari yangu ya mpiga kura na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana.
Taarifa niliyoipata kwenye web pamoja na email niliyotumiwa ni sahihi kwa asilimia 100. Napendekeza sote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho. Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu sahihi siku hiyo ya tarehe 31 Oct 2010.
Link ya kufuata ni hii…

mdau umekosea link hii ndio yenyewe
ReplyDeletehttp://www.nec.go.tz/?modules=reg_status&sub
Kumbuka waweza ona status yako online iko OK lkn ukifika kituoni haumo ktk list, what do u do? Au waenda na internet ktuoni kuwa-confirmia?It has happened.
ReplyDeleteKwikwiiiiiiiiiii
ReplyDeleteNiko zenj na nimeweka Voter ID yangu na hakuna result zenye details zilizokuja. ama shahada za znz hazitambukliwa na suystem ya NEC
Nimepata e mail kutoka NEC isiyo na details kama ifuatavyo:
FULL NAME
REGISTRATION CENTRE
REGION
DISTRICT
WARD
Hii kali hata kiswahili kinapiga chenga. Nimeingia huko kwenye hii site nakutana na title inasema "wagombea kurudiosha fomu" Ouch!!! hata proofreading kitu kabla ya kupost ni lazima mtu alipwe overtime bongo halafu tunalalamika majirani zetu wanachukua kazi zetu ...
ReplyDelete