Mwakilishi wetu Mwisho Mwampamba awa wa pili kutolewa Big Brother house na kuzikosa dola laki 2. kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Watanzania kweli lugha ya kiingereza bado inagonga sana! jamaa ameshindwa kujieleza kabisa sijui amewezaje ku-savaivu ndani ya jumba?
    Watanzania lugha inatuangusha sana sehemu nyingi, bado kiingereza chetu ni cha zee zee, inabidi tujitahidi jamani watoto wanaongea lugha nzuri kuliko watu wazima!

    ReplyDelete
  2. BBA5 wamechemka sana season hii,nimeamini kuwa mshindi wa BBA huandaliwa na wao wenyewe na kura ni biashara tu kwa makampuni ya simu, kwa walioangalia show jana watapata jibu kuwa mshindi ni Munya na si Uti, na mwisho hakustahili nafasi ya 3 nyuma ya Lerato kibaya zaidi wanashindwa kujua kuwa kuna wafuatiliaji wa kura kama sisi ambao ni 24/7 kwenye net na kwenye TV. Lerato aliharibu na bado akatengenewa mazingira ya kufika hapo alipo wakidai kuwa ni fate wakati Tshirt zile wakati wa barn ziliteletwa kutokana na size, kila mahali mizunguo bora niwe mwanariadha.

    ReplyDelete
  3. WIZI MTUPU
    UPENDELEO ULIOKITHIRI UMEHARIBU SHINDANO LOTE LA MWAKA HUU LA BBA. HAMNA NJIA YEYOTE AMBAPO MSHIRIKI WA AFRIKA YA KUSINI LERATO ANGEWEZA KUPATA KURA ZAIDI YA MSHIRIKI WA TANZANIA :MWISHO MWAMPAMBA. KWANZA KWA KUONYESHA ASIVYOPENDWA NA WATAZAMAJI MSHIRIKI WA AFRIKA YA KUSINI ALISHATOLEWA MARA YA KWANZA NA KUPELEKWA BARN(ZIZINI) , AMBAKO ALIMCHOKOZA KWA MAKUSUDI MSHIRIKI WA UGANDA HANNINGTON NA KULETA UGOMVI AMBAPO HAKUCHUKULIWA HATUA YEYOTE YA MAANA ZAIDI YA KUAMBIWA ASIPIGE KURA NA ASINYWE POMBE AMBAYO ALIIKAIDI KILA MARA KWA KUFAKAMIA MIPOMBE MIKALI BILA KUCHUKULIWA HATUA NA WAANDAAJI WA BIG BROTHER. PIA KATIKA MESSAGE ZINAZOPITA KATIKA SCREEN YA LIVE BBA SHOW KURA ZA LERATO NI CHACHE KULIKO WASANII WOTE. MARA NYINGINE TENA UBABAISHAJI NA UPENDELEO WA WAANDAAJI WA BBA ULIONEKANA KWA KUMRUDISHA LERATO KWENYE JUMBA KUTOKA ZIZINI KWA KURA ZA BAHATI NASIBU BADALA YA KUFUATA UTARATIBU WA KAWAIDA WA KUPIGIWA KURA. HATA KWENYE MSHINDI WA KWANZA AMABAYE NI UTI KUMEONEKANA UPENDELEO NA UNAZI WA HALI YA JUU KWANI HAKUWA NA UMAARUFU ZAIDI YA MUNYA WA ZIMBABWE. UTI ALIKUWA KERO KUBWA KUTOKANA NA DHARAU NA UTANI WA KITOTO KWA NIA YA KUDHALILISHA WASHIRIKI WENZIE. NADHANI LABDA AMEPEWA USHINDI ILI KUMPOZA NA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI...KUNA MTU YEYOTE MWENYE AKILI ZAKE TIMAMU ANAYEWEZA KUFIWA NA BABA MZAZI NA KUAMUA KUBAKI KWENYE SHINDANO LA BBA BADALA YA KWENDA KUMZIKA MZAZI WAKE ? UTI ALIRUHUSIWA KWENDA MSIBANI AKISINDIKIZWA NA BAADHI YA STAFF WA BBA LAKINI ALIKATAA..KWA NINI?
    HAPA NI MIPANGO TU...KAMA ILIVYO UBABAISHAJI WA MAMBO MENGI YANAYOFANYWA NA SISI WAAFRIKA.
    THE SMARTER DSM

    ReplyDelete
  4. watanzania chezeni mpira mfike mbali achaneni na michezo inayoshabikia ngono angalieni huko nyumbani magonjwa kwa kwenda mbele alafu bado mnashabikia michezo yenye kinyume na maadili yetu amkeni jamani hallooow

    ReplyDelete
  5. ukweli multichocie ambao ndio wanaondesha machakato wa kupata mshiriki ni lazima waonyeshe concern zetu watanzania kuwa hatukuridhishwa na ubabaishaji wa safari hii. hata aibu hawakuona wafuatiliaji wa shindano wakati wa kutaja mshindi hadhira yote iliita Munya na si uti, na kwa nini wamemsacrife mshiriki wetu mwisho eti awe wa 3 kitu amabcho hakiwezekani Mwisho alikuwa juu ya Lerato tangu wiki inaanza iweje masaa machache kura zibadilike au ziliibiwa kama kawaida uchaguzi afrika wiki mtupu, kwa mtaji huu hatutapenda kupeleka washiriki kabisa ni udhalilishaji na uonevu wa hali ya juu. MULTICHOICE MTUPE JIBU. Na sasa kila atakaefiwa hatotaka kutoka maana ataona ndio ulaji.Uti kapozwa tu hakushinda.

    ReplyDelete
  6. WE ANON. WA KWANZA NINA WASIWASI KUWA WW NDO HUJUI KIINGEREZA. BYTHEWAY HAWAKUCHAGUA MTU KWA AJILI YA LUGHA, UNATAKA KUSEMA MWISHO NA RICHARD LEVEL ZA LUGHA ZAO NI TOFAUTI? ONDOA TAKATAKA ZAKO HAPA. KAMA HUNA POINT UNAWEZA UKATUMA BLANK COMMENT VILEVILE!

    ReplyDelete
  7. Huu ni wizi mtupu!! Hii ni bussiness strategy ya DSTV. DSTV wanauza zaidi 9JA kuliko sehemu yoyote ile na kuna threat ya makampuni mengine ya Kifaransa. Wanajaribu kuvuta wanachi ya 9ja kwenye DSTV na ndio maana hata ligi yao inaonyeshwa. Haikuwa show tu bali biashara pia!

    ReplyDelete
  8. iknow one woman TOLEE AIBU YAKO HAPA hata kujieleza sentensi moja haliwezi wacha likacheze bongo flava huko bongo aibu tupu.KWA NINI ASIENDE ENGLISH SCHOOL?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...