








Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wana-CCM na Watanzania wenzangu, natoa wito kwenu wote katika kila pembe ya nchi hii, tuongeze juhudi ya jasho, hali na mali katika kampeni hadi siku ya uchaguzi ili tuhakikishe kuwa CCM kinapata ushindi mkubwa sana. What is at stake ni kuwa, kwa mara nyingine tena, CCM imeonyesha kuwa CCM ndicho chama pekee kinachowaunganisha Watanzania wa makabila, dini na rangi zote. Mungu ibariki Tanzania na utudumishie amani. Amen. Sosthenes wa Tabata.
ReplyDeletendo hivyo tu? uncle lakini unajitahidi kumnadi Jk ila hauziki tena. anyway tutawatosa tu mwaka huu,mbona tushawachoka kabla hata ya kampeni!!!!!!!!
ReplyDeletejk anauzika sana wewe tu na roho mbaya yako na ccm hatujaichoka wembe ni ule ule ushindi
ReplyDeleteWana wa vyama vya upinzani hawajuikupiga hesabu. Ili CCM ing'oke ikulu unganeni kwanza tofauti na hapo mtaisikia tu ikulu. Vijijini hamjapateka vya kutosha wala msidanganyike kuwa watanzania wa leo si wa juzi ulongo. wa tz ni walewale. haki zenu kibao hamzijui nenda dsm utapata jibu kupiga kelele si kujua mambo mengi. Watu wengi wa mjini hamjui mambo mengi ya msingi.Ccm itashinda even at a minimal margin what matters ni white house and Mps and House of Reps. Thanks.
ReplyDeleteMmmh!
ReplyDeleteBradha huyo Mdau wa CCM aliyejiandika "CCM" kwenye paji la uso MIDOMO yake nimeipenda imekaa fresh! Daa!
Ulifanikiwa kupata kontakts zake?
YANI WE MITHUPU UTUZIMA WOTE UHUNI WA JUGNUNERO UJACHA YANI PICHA ZATE UMEONA HIYO NDIO UTIE CCM OYEE TUSHAKUFAHAMU NA UKIFANYA MASIHARA BARA WEYE HURUDI UTANATA VISIWANA USHAFAHAMU
ReplyDeleteHivi ni mara ya ngapi Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anakanyaga ZENJI? naombwa kukumbushwa kidogo.Haya AKISHINDA CCM AU CUF zanzibar tushajua tu kuwa vyama vyote vinatawala hakuna wasi wasi na mawaziri wanatoka kote kote ZANZIBAR NI NJEMA SASA MUNGU AWAPE HEKIMA HAO CCM TU WAKUBALI MATOKEO! maana hawajawahi kushinda hata mara moja!
ReplyDeleteWe mchangiaji mada wa pili, nadhani unaishi "Cuckoland". JK na CCM watapata ushindi mkubwa sana come October 31st. Nyinyi kyadema mtalia machozi makavu!!!!
ReplyDeleteSafari hii CCM kwa mara ya kwanza itashinda Zanzibar na Pemba kihalali.
ReplyDeleteSosthenes (anon wa kwanza), nakubaliana na wewe kuwa CCM ndicho chama pekee kinachowaunganisha Watanzania wa makabila dini na rangi zetu. Hapa Sinza kanisani kwetu (nitaminya jina) kumetokea mpasuko baada ya waumini kukataa shinikizo la baadhi viongozi wetu wa kanisa na baadhi ya waumini wenzetu wa kabila fulani kutoka mkoa fulani wa kaskazini la kutaka eti tuwapigie kura watu wa dini yetu. Tuliwaambia waziwazi kuwa tukianza mchezo huo basi sisi kama taifa tutaishia pabaya sana na ahadi ya ufalme wa maziwa na asali itaishia kuwa ndoto ya jinamizi la majonzi. Nawaomba Watanzania wenzangu wote tuwapuuze na tusiwafuate viongozi wa dini wanaosukumwa na chuki ili wasituingize katika majanga makubwa. Ijapokuwa mimi niko NCCR, nitawapigia candidates wa CCM kura kwa kuwa sitaki dini yangu itumike vibaya na kuliangamiza taifa letu. Ewe Mungu wetu tunakuomba ilinde Tanzania yetu. Amen.
ReplyDeletehalafu wewe ankal dizaini nyoka wewe!
ReplyDeleteAnon ulinayeongelea kuwa CCM inawaunganisha watu wa dini zote na makabila siyo kweli, napinga na wewe kwa hilo. Wewe ni CCM na wala usisingizie kuwa wewe ni NCCR...hakuna ukweli wowote kuwa CCM inaunganisha watu wa dini na makabila, huu ni utamaduni wetu wa kuwa pamoja na siyo CCM.
ReplyDeleteTATIZO LA WATANZANIA WANAWAACHIA WALALA HOI KUCHAGUA VIONGOZI, WALALA HOI WA MLO MMOJA, WAKIHONGWA KANGA, CHAKULA, BUKU, BUKU TENI, UKIONA UNAWATOTO WANAKULA UNAFANYA MAMBO YAKO SAAFI, BASI KWAO SAAFI HAWAPIGI MAHESABU YA MIAKA MITANO IJAYO KUTAKUWAJE, SASA NYIE WASOMI NYIE, WENYE PESA ZENU MNAPIGAGA KURA? SI MNASEMA TUKAPIGE TUMCHAGUE NANI SI NDIVYO MNAVOSEMAGA SASA ANGALIENI NCHI INAKOENDA, NYERERE ALIMKEMEA JOHN ASIGOMBEE NCHI ISIJE IKAENDA HUKO SIJUI WAPI, LAKINI LEO NCHI INAENDA WAPI, MNAONA AU MMEFUMABA MACHO AMKENI, SINA CHAMA ILA NAONA MAMBO YANVYOENDA NA KURA YANGU NAJUA WAPI KUIPELEKA JE WEWE?? UNAJUA BAADA YA MIAKA MITANO NCHI HII ITAKUWAJE? UNATASWIRA GANI KICHWANI KWAKO?? NA UNAFANYA MAAMUZI MAZITO GANI KUHAKIKISHA HILO HALITOKEI MIAKA MITANO IJAYO???...UKIWA MZIMA UNITAFUTE BAADA YA HIYO MIAKA MITANO IJAYO BAADA YA KUONA NCHI ULIYOSHINDWA KUIFANYIA MAAMUZI MAGUMU ILIKO!!!
ReplyDeleteSHAURI YAKO, VIJIPEASA VAYAKO, ELIMU YAKO TENA VIJIPESA VYA WIZI, UJANJA UJANJA. VITAKUHENYESHA MIAKA MITANO IJAYO...
michuzi ole wako uniweke kapuni kama kapu la redio tanzania zamani.
hatujamsikia JK akitisha watu, kama Dr. Slaa!
ReplyDeleteSlaa ni dikteta...tumeyaona hayo toka kamati ya "wazee wa Chadema"!
Slaa aliahidi kumchapa mtu mmoja wa Chadema huko sehemu za kusini. Slaa, acha kuwafanya wa-Tanzania watoto wadogo wako wa kuchapwa chapwa!
Aliahidi kutunga sheria ya kulazimisha watu wasijenge nyumba za nyasi. Kila sheria ina matokeo yake. Wakikataa, atafanyaje? Atawafunga jela!
CCM inawaungansha Watanzania wote, chadema inajaribu kujenga chuki katika nyonyo za Watanzania.
ReplyDeleteNi bora tubadilishe jina tu sasa na kuwa WWW.MICHUZI-CCM.BLOGSPOT.COM , Nawasilisha
ReplyDelete