Bw. Abdul Mtekete katika mkutano wake wa kampeni huko Mlimba, Morogoro
JK akiongea na mlemavu wa mikono na miguu
Bi. Sijali Chesko mara baada ya kuwasili mjini Ifakara kwa mkutano wa kampeni
Afisa msaidizi wa JK Bw. Fyataga akipata maelezo toka kwa Mzee Mohamed, Mwenyekiti wa watu wanaoishi kwenye mazingira magumu wa Ifakara baada ya JK kuagiza Bi Sijali Chesko asaidiwe
JK akisalimiana na wananchi kibao waliojitokeza kumsikiliza huko Mlimba

Bi. Sijali Chesko mara baada ya kuwasili mjini Ifakara kwa mkutano wa kampeni


JK watu wanakupenda sana lakini umezungukwa na watu ambao si rizki, Na kwa bahati mbaya unawakumbatia ile mbaya
ReplyDeleteJK watu wanakupenda sana lakini umezungukwa na watu ambao si rizki, Na kwa bahati mbaya unawakumbatia ile mbaya
ReplyDeleteNahudhuria sana kampeni zenu na nimekusanya kanga za kuogea na tisheti za kulalia but kura yangu hupati NG'O
ReplyDeletewatu wanampenda sana ? Watu ngani.
ReplyDeleteyeye kama raisi kama amezungukwa na watu ambao si risiki kwa nini anawakumbatia bado.
Beautiful, Absolutely Beautiful.... Go Go Go JK.....
ReplyDeleteMr President kwamba wewe ni mtu wa watu, hilo hakuna hata mtu mmoja anayekufikia.WEWE NI RAIS WETU.
ReplyDeletePAMOJA TUNASONGA MBELE.
MUNGU AKUONGOZE NA KUKUPA HEKIMA ZAIDI.
HONGERA JK. ENDELEA KUNADI SERA. ACHANA NA WANAOJADILI WATU. HAO WANAOJADILI WATU WANA FIKRA FINYU. (SIMPLE MINDS ALWAYS DISCUSS PEOPLE)
ReplyDeletemzee amejitahidi and kampenzi za danganya toto hapendwi mtu hapa
ReplyDeletewana wakati mgumu sana, we are real tired of them......
Hiyo picha ya JK na mlemavu wa mikono na miguu Salma ameiona? Inaweza kuleta balaa hiyo.
ReplyDeleteJK hajazungukwa na watu ambao sio rizki. Amejizungushia watu ambao sio rizki. Ana mamlaka ya kunipa mimi ubunge na kuwatosa hao wanaodhaniwa kwamba sio rizki.
ReplyDeletekwani we michuzi vp? Mbona hutuonyeshi yanayofanywa na vyama vingine? Huo ni ubaguzi wa kisiasa na kamwe haujengi. U should learn how to balance things. Eboooooooooooo.
ReplyDeletewa Tarehe Sat Oct 23, 06:19:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous, kwani wewe ndie Salma? Hayakuhusu hata kidogo!
ReplyDelete..........Ankal nakuulizaga kila siku....umeahidiwa yule Daktari wa Meno! hizi juhudi zakko si za kwaida HATA UKUU WA MKOA HAUKUTOSHI!
ReplyDelete