Home
Unlabelled
JK alivyopagawisha Nachingwea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KENYA HAO...WANAELEKEKEA KWENYE MFUMO WA ELIMU BURE SIJUI NA HII INAKAAJE MAANA WAMEKISHA ANZA MAANDALIZI.
ReplyDeleteHivi hawa wanaoshabikia CCM baada ya tarehe 31 October 2010 si Watanzania wale wale wenye maisha ya dhiki mtaani au ....
ReplyDeleteNYIE MNAOTUAMBIA TUSIWACHAGUE WAGOMBEA WANAOTOA MATUSI MBONA HAMTUAMBII WAGOMBEA HAO NI WAKINANANI? MBONA POLISI HAWAWAKAMATI WAGOMBEA HAO? HATA HIVYO MBONA SISI HATUSIKII MATUSI HAYO KWENYE MIKUTANO YAO WALA TUANGALIAPO LUNINGA NA KUSOMA MAGAZETI? HEBU TUAMBIENI WAGOMBEA HAO NI AKINA NANI NA LINI WALITOA MATUSI HAYO ILI IWE RAHISI KWETU KUWAJUA TUSIWAPE KURA; WALENGWA WA KAURI HII NI DR. SLAA NA PROFESA LIPUMBA.
ReplyDeleteHivi kazi ya waangalizi ni kununa?Mbona hawa wamenuna sana
ReplyDeleteHivi hawa waangalizi mbona wamenuna sana,ndo walivyofunzwa,utafikiri mgambo wa city council.
ReplyDeletewee aloo amaah, michuzi kunikumbusha nyumbani pale ammah.....mi kulia machozi kunkumbuka bibi.......
ReplyDeleteUncle Mathias Chikawe, Sisi vijana wa Nachingwea tutawapigia kura wewe na Mh JK kwa kutambua mchango wenu katika maendeleo yetu hapa Nachingwea katika miaka mitano hii. Hatujali wale watu wa mkoa fulani wa kaskazini walioko hapa wanaofanya mikutano yao ya siri ya kikabila. Still, ni Watanzania wenzetu na tutaendelea kuishi nao vizuri ila hawatatuyumbisha wala kutudanganya. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Nachingwea, Long live CCM!!!!!!!!!
ReplyDelete31/10/2010 : Nachingwea = Green country. Copy and paste that.
ReplyDeleteOmbi:
ReplyDeleteNi nani mwenye data za CV za hawa wagombea-wenza (URAIS)?
APPT-Maendeleo: Rashid Yusuph Mchenga.
CHADEMA: Mzee Said Mzee.
CUF: Juma Haji Duni.
NCCR-Mageuzi: Omari Juma Ali.
TLP: Abdallah Othman Mgaza.
UPDP: Mohammed Ibrahim Hamad.
Wana-Nachingwea wenzangu, uzi ni ule ule, tujitokeze kwa wingi kuwapigia Raisi Kikwete, Mathias Chikawe na madiwani wote wa CCM. AMANDLA!!!!!!
ReplyDeleteMmmm kweli ukilewa siasa hata chooni badala ya kujsaidia utaanza kupiga kelele za kampeni. Nani alikwambia wewe wa Nachingwea kwenye blog uwanja wa kampeni?? ungeweka na spika za kupazi sauti. This is a place for thinkers to give their comments and views.!!! Wengi wa wapiga kura wa Nachingwea hawajui kitu kinaitwa Blog wala hawasomi, can you visit them in their home village for campaign please.
ReplyDeleteMichuzi hii usiibane manake na wewe kuna wakati hueleweki!!
Nijapo kwenye mtandao hasa wa FB nakutana na picha nyingi lakini zilezile za Slaa na Mnyika na zimechakachuliwa of course. But nipitapo barabarani nakutana na mabango mengi ya JK na CCM. Niangaliapo TV naona Slaa ana crowd, JK ana crowd, Lipumba ana crowd, Shein ana Crowd Dr Bilali ana crowd. Mnaojua maana na mathematics za kampeni mnaelewa maana ya hii phenomenon? Sitaki ushabiki. Ila kilicho dhahiri shayiri ni kuwa mgombea mwenza wa Slaa hatumjui wala haonekani. Is Slaa a one man show? Au mgombea mwenza ni Josephine-- Mahimbo's wife.
ReplyDeleteSiku inakuja na siku hiyo haiko mbali JK atadunda kwa kwenda mbele. Hebu fikirieni jana na juzi Slaa katoa alarming statement ambazo ni unconfirmed tena za uchochezi. Kuwa kuna mzee mstaafu kauawa na polisi kumbe si kweli na kuna gari limekamatwa Tunduma lenye ballot papers. Nalo pia is not true!! Wakati huo huo anawaagiza watanzania wakamate gari lolote linaloshukiwa. Huyo ndiyo atakuwa Rais? Anakurupuka tu na majazba na munkar wake. Hee? Usanii na ghiliba tupu. Si nchi hii itazalisha wakimbizi wa kisiasa? Ndivyo mnavyotaka hivyo? Kwa kuwa Mungu wetu ni mwema tunatanguliza shukrani. Slaa will be relegated to the dustbin of history. Hivi nyinyi hamulioni hilo. Japo ninaanza kuhisi nyie ni part of the cyber propaganda machinery set out kutudanganya. VOTE JK VOTE CCM
ReplyDeleteAnon wa 7:37:00 AM, uropokaji wa slaa ni mateke ya punda anayezama. slaa alijidanganya kuwa ana nafasi ya kushinda kutokana na ahadi zake bomu, lakini nadhani ameanza ku-panick kwa kuwa akienda pahali akapata watu elfu kumi mkutanoni basi JK sehemu hiyo hiyo anapata watu elfu ishirin, slaa akipata watu 20,000 (k.m. Arusha) JK anapata watu 60,000. Kwa hivyo ameona kilichobaki ni azidi kusema uongo, atukane, afoke na mashamsham mengine ya kiajabu. Nakubaliana na wewe: CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE!!! MORANI7. (aka Laisseri).
ReplyDelete